Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Ni halali kuweka kwenye trash mkuu, funguka huenda na yeye huwa anakutamani ila hofu/woga umemjaa na anamsubiri atakayekuwa jasiri atunukiwe.😂😂 Maneno ya wahenga natupa kwenye trash. Yaani nijute kueleza hisia zangu! Au ulikuwa unammezea mate na ww ni domo zege?
Ahhahaha mkuu usipende kuchukuliwa vitu soo personalNi halali kuweka kwenye trash mkuu, funguka huenda na yeye huwa anakutamani ila hofu/woga umemjaa na anamsubiri atakayekuwa jasiri atunukiwe.
Kuhusu mimi kuwa domo zege ni kweli kabisa hilo halina mjadala na licha ya kwamba ni ukweli huwa sipendi kuitwa hivyo huwa ninakasirika sana. Nyota yangu ya kunguru hii hata nikimmezea mate nitaishia kuugua sonona tu nikiona mliothubutu mki-tag each other na kupeana makopa-kopa kwenye nyuzi za watu kwahiyo hii ligi nawaachia wenye uwezo na nyenzo. Kila la kheri mkuu mkifika ile hatua ya kutoa kadi za michango ya harusi nipo tayari kuchangia.
Sipendi kuchukulia personal ila ndo ukweli na ninafahamu kuwa siku zote ukweli wa aina hii unauma sana.Ahhahaha mkuu usipende kuchukuliwa vitu soo personal
Ni kweli mkuu wamo wengi ila u-domo zege wangu haunipi ushirikiano.Daah utajiumiza na stress zisizo za maana kabisa, mademu wako shazi tu humu ruka na mmoja
Dah, acha ninyamaze tu.Ni halali kuweka kwenye trash mkuu, funguka huenda na yeye huwa anakutamani ila hofu/woga umemjaa na anamsubiri atakayekuwa jasiri atunukiwe.
Kuhusu mimi kuwa domo zege ni kweli kabisa hilo halina mjadala na licha ya kwamba ni ukweli huwa sipendi kuitwa hivyo huwa ninakasirika sana. Nyota yangu ya kunguru hii hata nikimmezea mate nitaishia kuugua sonona tu nikiona mliothubutu mki-tag each other na kupeana makopa-kopa kwenye nyuzi za watu kwahiyo hii ligi nawaachia wenye uwezo na nyenzo. Kila la kheri mkuu mkifika ile hatua ya kutoa kadi za michango ya harusi nipo tayari kuchangia.
Unaruhusiwa kuongea mkuuDah, acha ninyamaze tu.
Leo hii umekuwa kamanda!
Mkuu Seran,Hii ni maajabu!
Kuna uhuru wa kuongea na uhuru baada ya kuongea🤣Unaruhusiwa kuongea mkuu
Unasahau kuwa mshamba hachekwi.Kuna uhuru wa kuongea na uhuru baada ya kuongea🤣
Sitaki shari kabisa. Nakula kwa macho.
Asante sana kaka mshamba🥰Mkuu Seran,
Una muandiko mzuri, pia ni mcheshi na mchangamfu sana. Hii ndio sababu ya watu kukupenda.
Haupaswi kuchukizwa na hili kwani ni kielelezo cha kuonesha wewe ni mtu wa kipekee.
Heko kwako mkuu.
Na wewe ndo ulipojifunzia!Ingia YouTube ujifunze namna ya kuflirt ngoja nimwite Seran njoo msaidie namna ya kutongoza huyu