Hapana ya kwako inaenda vizuri kwangu binti alidhalilika hadi skatoa avator ya zamaniMkuu yasije yakanikuta yako na Seran nkwingwa
Enewei sikukatishi tamaa ila huyu uliem-declare kama crush wako ni mke wangu nipo nae tokea 2014. Hii haitoshi kuwa explanation kiongozi 🧐!Tunamtaka aje na vivid explanation as to why she's playing these games au kwa nini umsingizie
Do you think mm mzembe kias hicho? Wewe umeshasema domo zege bwana wacha kuleta pigo hizooEnewei sikukatishi tamaa ila huyu uliem-declare kama crush wako ni mke wangu nipo nae tokea 2014. Hii haitoshi kuwa explanation kiongozi 🧐!
Sawa mkuu, acha nikae kando nishuhudie mwenendo . Kila la kheri ✊.Do you think mm mzembe kias hicho? Wewe umeshasema domo zege bwana wacha kuleta pigo hizoo
Mimi huyo binti wa zamani ni mama anguKauli za kitoto hizi mkuu? Au ndo shule bado hazijafunguliwa?
siku saba zijazo utakuwa na hali ngumu sana kihisia 😁Kwa hiyo wewe ni mtoto wa kambo kwangu?
Ndio.Kwa hiyo wewe ni mtoto wa kambo kwangu?
Binti wa zamani ngoja aje akupe mwongozo 😌.Nini wewe mrembo tu unajifanya dume humu?
Kuna mmoja alinipa elfu 15 nika clear safi kabsa..Basi nakutuma mimi, mwambie hao wengine watamchezea tu wamwache
Mwache laazizi wangu mpambe usie na haya weweBinti wa zamani ngoja aje akupe mwongozo 😌.
Kwamba ni mwana mjalaanaMwache laazizi wangu mpambe usie na haya wewe
Sawa malipo uhakika yule mwingine alisemaga hv hv cha ajabu...Fanya kazi kijana malipo uhakika