Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Baba baba huyooo
๐๐๐๐๐๐
๐๐๐๐๐๐
Mkuu wa mabalaa ni KE na sio ME.Hizi kauli Zina maana gani wewe mshamba?
Wacha basi huyu dume la nyani kabisaMkuu wa mabalaa ni KE na sio ME.
She'll break character soon enough, you'll see.Wacha basi huyu dume la nyani kabisa
Basi atafute namna nyingine sina msaada!Humu hakuna madini ya kutongoza kuna watu walio pigwa matukio tu atakata tamaa?
sio keAlaf kumbe ni KE bwana ๐ dooh hapa jf kuna mengi sana
Mkuu mshamba_hachekwi mimi ni dume la nyani kama alivyosema kiongozi hapo juu. Naomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza/utakaojitokeza.Wewe Latent chaos naomba uje ukanushe kauli za mshamba haraka iwezekanavyo
Bila samahani mkuu,Mkuu mshamba_hachekwi mimi ni dume la nyani kama alivyosema kiongozi hapo juu. Naomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza/utakaojitokeza.
Tunamtaka aje na vivid explanation as to why she's playing these games au kwa nini umsingizieBila samahani mkuu,
Kwa heshima na taadhima naomba kukata rufaa.
Sitoamini dai lako bila ushahidi mgumu.
Asante na uwe na jioni njema.