Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
- Thread starter
- #161
Umeona eeh? Namwambia huyu mshangazi aache kabisa habari za wapambe wanaleta nuksi kwenye penzi letuMwaya kaoe upikiwe mapenzi ni raha pale ukimpata oyoooo nani kama mshangazi de Gunner and Binti wa zamani .
Usiangalie watu wanasemaje angalieni raha yenu
