Barua ya Wazi kwa Dkt. Dorothy Gwajima na Nape Nnauye



Tunabidi kujikita kuisadia serikali kupata maendeleo na kuishauri mambo yenye kujenga

Mfano mwaka 2024 kuna kampeni inabidi kuanzishwa kuhusu matumizi ya Television kwa watoto wenye umri chini ya miaka 18 ! Je unajua nani amependekeza hilo jambo?
 
Mtaje jina

Mtoto wa kiume wewe
 
Kwani uongo, we tizama kwa undani na umakini jamii zetu watu weusi, kuna majambo utayabaini.
Kiongozi kabisa linasema sijui muhamie burundi, mpige mbizi, mle nyasi ndege ya raisi lazima inunuliwe, huku chalamila nae sijui sukari imefanyaje, jamii hiyo imefanyiwa vitu hivyo vya ajabu na aibu kwa zaidi ya milongo 5, lakini ipo ipo tu, sasa we unadhani watu hao wapo sawa, mie naanza kuamini watu weusi tuna matatizo kwa ndonga zetu
We toka uchaguzi wa vyama vingi uanze mpaka mwakani itakuwa ni miaka 30, kwa miaka yote hiyo mambo ni yale yale kudanganywa na mifuko ya sukari, tisheti etc, kisha kwa miaka mi5 mfululizo watatufanyia mambo ya hovyo mpaka uchaguzi, wanajikomba nasi tulivyo hatuna akili tunakombeka.
Weusi ni kama lana fulani hivi. Niamini mimi.

Halafu kuitwa tumbili mnalalamika wee, kuna mambo ya msingi kuliko hayo, umeme mtihani, sukari changamoto, gharama za maisha zimepanda kufuru ya mungu.
 
Tunabidi kujikita kuisadia serikali kupata maendeleo na kuishauri mambo yenye kujenga
Wewe endelea kukwepa hoja.

Binafsi tayari nimesha jikita kuisaidia serikali kwa mambo ambayo yanaathiri Jamii na hususani Vijana..

Hayo mambo unayodai yanajenga, hayajengi, hakuna Dkt yeyote yule mwenye uelewa wa Saikolojia ya watu ambaye anaweza kutamka matamshi kama yale halafu aseme yanajenga.

Sidhani kama unaipatia taaluma ya Udaktari haki na heshima inayostahili, unless, of a cognitive dissonance inayonekana hapa Hujengi mkuu.
 

Tunabidi kuijenga jamii, kwa kuipa maarifa sahihi kutokana na muda na wakati wake.

Mfano swala la Television hii hoja unadhani imebeba ukubwa kiasi gani je ikitekelezwa unadhani ni Jamii ngapi zitafanikiwa kuokoa watoto wao?
 
Mimi huwa natazama positive katika negative , siwezi kuangalia MTU kasema nini Ila uwa naangalia kwanini kasema hivyo
Kusema mtu mweusi sio binadamu, ni mtizamo hasi.

Mathlani wewe ndio umesema hayo, unataka kuiambia kadamnasi kuwa hayo uliyoyasema ni hasi na hivyo basi tuyachukulie mtazamo wako kama ni Chanya? Kivipi?

Au kwamba uliyoyasema ni Chanya, ila wengine ndio wanayoona ni hasi?
MTU mmoja anaweza kufanyiwa ukatili na MTU mmoja mweusi basi chuki ikaanzia hapo inkuhitaji akili za ndani kuelewa hili jambo


Sio kila tatizo lipo Kama lilivyo.
Aisee. Nitakuachia hapo Daktari.

Naomba po Nishughulikie mengine, tutafungua mjadala, kwani hapa ilikuwa ni sehemu ya Barua.

πŸ™
 
Kasema kweli kwani uongoo Nakupa mfano wa UMEME na MAJI na BARABARA toka baada ya kupata UHURU mwaka wa 60 Sasa nini kimefanyikaaa.Mukiambiwa ukweli muna kasirika mukiachwa munasema muna ogepewa huo ndio ukweli tulia dozi ikuingee.
 
Nna uhakika wewe ni tajiri, mtu masikini kama mimi muda wote tunahangaika kuzisaka hatuna muda na sijui mtu mweusi
 
Kasema kweli kwani uongoo Nakupa mfano wa UMEME na MAJI na BARABARA toka baada ya kupata UHURU mwaka wa 60 Sasa nini kimefanyikaaa.Mukiambiwa ukweli muna kasirika mukiachwa munasema muna ogepewa huo ndio ukweli tulia dozi ikuingee.
Huo ndio mfano gani hapo?

Umeelewa kilichoandikwa au na wewe ulitaka kuweka dukuduku zako?

Dozi imekuingia wewe unaleta nye nye. Tulia
 
Well said πŸ™πŸ™πŸ™
 
You're being narrow and selective in ur thinking, explore bigger scale, narrow, macro and micro thinking. Broadly hio kauli sio njema, he should have specifically said some of them have persistently exemplified that on certain issues with particularity or in a glocalized situation.
 
Nadhani badala ya kulalamika na kutumia maneno ungeshauri watu waoneshe ubinadamu wao kwa matendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…