Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Ile haikunona kama hii, hajiuzulu mtu hapa wagombea watatu (3) three candidates kutoa familia moja halafu wewe unaleta mambo ya uungwana na dini! Wanaokufa watazaliwa wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siongei na wapuuzii
Ni kweli kabisa, ndiye aliyejipendekeza na kujikomba-komba hata akataka watanzania wampe magu urais wa maisha eti amefanya maajabu!Ameshiriki kikamilifu kwa kujisogezasogeza kwa Magufuli na kujipendekeza pendekeza ilimradi tu mwanae awe rais
Mimi niliona video ya vijana wakiwapopoa mawe askari wenye uniform, bendera ya taifa na ak 47, nikasema hiiiii! ningekuwa mimi hapa nawamwaga medulla ablongata zao hawa wajinga waliotumwa na maalim seif,Nineona zile picha za watu walivyo uwawa, hadi moyo wangu ukapata simanzi.
Hiiyote ni kwasababu tu yaulafi wa madaraka.
Mimi naamini Hussein Mwinyi kama yeye mtu mzuri ila bahati mbaya sana yuko katika kundi baya ila hii haimfanyi kuwa msafi na kama anajali mema yake nakumuogopa Allah kwa ajili ya nafsi yake basi mambo mawili angeyafanya, kujitoa katika uchaguzi kama anadhani dhulma imefanyika au kuomba wawaachie wananchi wachague kwa haki na akishinda basi atakuwa na amani ila akijuwa dhulma imefanyika basi hawatakuwa na amani na imewatia doa kubwa kama familia ya mzee Mwinyi, watu hawatasahu hili duniani na akhera. hapa ndio utajuwa imani za kweli na imani za uongo. majaribio hayaMzee Mwinyi unataka nini tena katika dunia hii ambacho bado hujakipata?
Laiti ungemkanya mwanao aachane na hii dhulma, damu za wananchi wasio na hatia wa Zanzibar zisingemwagwa kama tunavyoshuhudia leo!
Leo kweli Mzee Mwinyi na mwanao mnataka Wazanzibar wawalaani kama walivyomlaani Mkapa kwa mauaji aliyowatendea mwaka 2001?
Mkuu, unaweza nieleza kwa kifupi nini hasa kimesababisha mauaji hayo?Nineona zile picha za watu walivyo uwawa, hadi moyo wangu ukapata simanzi.
Hiiyote ni kwasababu tu yaulafi wa madaraka.