Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 7,841
- 17,491
Wasalaam,
(Maalumu kwa kijana wa kiume kati ya umri wa miaka 20-30)
Kwako mpendwa kijana wa kiume.
Inaweza hii ikawa si mara ya kwanza kuona nyuzi za namna hii au zenye kufanana na hii kukuzungumzia wewe kijana wa kiume, hii ni kukukumbusha kuwa....Ni rahisi kuzaliwa na jinsia ya kiume ila si rahisi kuwa mwanaume, rudia tena kusoma sentensi yangu hapo nyuma.
Binadamu yeyote anaweza kuzaliwa na jinsia ya kiume lakini kuwa mwanaume it is a different thing, katika umri nilioainisha hapo juu, kijana wa kiume yupo kwenye harakati za kutoka kuwa kijana wa kiume na kuwa Mwanaume kiumri na kimajukumu. Lakini si kitu rahisi, si rahisi hata kidogo.
Kumekuwa na nyuzi nyingi za vijana wa kiume hasa waliomaliza masomo na kuingia mtaani na kukutana na hali halisi wakilalamika na kukata tamaa ya maisha, huu ni uzi mahsusi kwaajili yako ili kusurvive na hali ngumu ya maisha ya kitanzania.
Najua una ndoto zako au ulikuwa nazo ambazo ulijitengenezea kichwani mwako ukiwa na mategemea makubwa kufanikiwa punde tu baada ya kuingia mtaani, upate kazi nzuri, ununue usafiri uanze kujenga, uwe na familia na kazi nzuri uende vacations n.k, vipi ni rahisi??
Nafahamu, sio rahisi, and it is a big dissapointment to you, sasa tulia nikuambie kitu.
Mafanikio "halali" ya mwanaume sio kitu rahisi kama kuanzisha nyuzi Jamii forum, inahitaji ustahimilivu, roho ngumu, jasho na damu hasa kama umetokea familia zetu za pangu pakavu tia mchuzi.
Usichague kazi, ili mradi ni halali na hauuzi utu wako, take it. Kuna muda kinachohitajika ni mkono kwenda kinywani na kusurvive, usione aibu kwa kazi/kibarua kinachokupa mkate wako wa kila siku.
Trust in a process, kitu chochote kwenye kukua kinahitaji muda na sacrification, jipe muda kwenye kukua kwako, usione tabu kuanza na kidogo, umepata mishe mishe unapata senti mbili tatu za kupata hata mlo wa siku thats okay, shikilia hapo hapo wakati macho na masikio yako yapo wazi kuangalia fursa zaidi, nafahamu inawezekana unachokifanya sio kitu ulichosomea au kuspecialize lakini kinachomatter ni kusurvive kwanza then shikilia hapo hapo kwa kipindi fulani.
Ishi uhalisia wako, (don't go broke tryng to impress people) soma tena hapo kwenye mabano, wewe huna maisha, hujajipata thats it and it is okay, don't feel shame, huo ndio uhalisia kwa sasa ishi nao, hizo senti mbili tatu unazozipata komaa nazo ili usurvive, una elfu 50 kama savings then kuna college-mates wako wamekuita so called wavuvi and the likes kwenye birthday parties etc huku ukijua maisha yako magumu unayoishi bado unajipeleka huko, asubuhi unaamka hata senti moja huna bado una hangovers za kutosha, una akili kweli?? Nafahamu ni katika kuimpress wenzako na kujaribu kufit in, then stop that sio muda wake sasa.
Elewa, wale mabraza unaowaona wanatumia pesa zao viwanja vya starehe na kuitisha Hennesy na moet kwa vibango na mishumaa walishatoka huko, pambana itafika muda na wewe utaweza kufanya hivyo.
"Ukweli mchungu", Kitu pekee kinacho matter kwenye maisha yako sasa ni wewe mwenyewe na maisha yako tu, najua kama kijana unahitaji mwenza au mahusiano, lakini ukweli mchungu ni kuwa huyo binti anaekudrive crazy kwa sasa ni destruction kwenye kujitafuta kwako.
Kutoka Andrews, South Carolina, U.S mchekeshaji nguli Christopher Julius Rock, ama "Chris Rock" kwenye documentary yake ya "Tamborine" iliyorushwa mwaka 2018 na netflix anasema “only women, children, and dogs are loved unconditionally,” whereas “a man is only loved under the condition that he provide something. Rock yupo sahihi, kwa dunia yetu hasa maisha ya kiafrika, ili mwanaume upendwe lazima uwe na uwezo wa kumtake care huyo mwenza wako, achana na zile movie za kikorea na kihindi unazoangalia ila uhalisia wa maisha upo hivo.
Sasa braza jiulize wewe kwa pesa gani ulizonazo, kwa maisha gani uliyonayo? Vijana wengi huingia kwenye huu mtego wa mahusiano kipindi ambacho hawana lolote wala chochote wakizani ndio itawapa peace of mind n.k lakini trust me hakuna big destruction kwenye stage yako ya kujitafuta kama mahusiano, asilimia kubwa itakuongezea stress na destruction tu ebu jipe muda kwa wakati huu akili yako ifocus kwenye kujitafuta kwanza, ujipate na uone vile una options kubwa ya kuchagua nani wa kuwa nae na kwa wakati gani.
Mwisho japo si kwa msingi, utafutaji una changamoto nyingi sana, stress kila siku, ni vyema ukawa positive kwenye kila kitu unachokifanya na kukipitia, have a positive mindset, amini hiki unachopitia ni temporary ni kipindi cha mpito, upo kwenye kujijenga, too much thinking won't solve anything, kama unaamini kwenye Mungu, mtangulize Mungu mbele ukiamini yeye ni muweza wa yote na kupitia kupambana kwako atakutoa ulipo na kukufikisha unapopataka, be grateful hata kwa kidogo unachopata, thats the way to attract good things,"Mental health is real" usikae kwa upweke, ukiona stress zinazidi, toka nje tafuta playing grounds, jichanganye na vijana wenzio mpige story na kubadilishana mawazo itakusaidia kuondoa msongo wa mawazo.
"Everything is possible for those who believe" lets meet at the top, cheers 🥂.
Mla bata
München, Deutschland 🇩🇪.