BRAZA CHOGO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 761
- 1,984
kuombwa hela inauma sanaWako Busy wanalalamika hawapendi kuombwa helaš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuombwa hela inauma sanaWako Busy wanalalamika hawapendi kuombwa helaš
Ukitoa pesa unatakiwa upate pesa nyingine zaidi , yaani pesa izae pesa nyingine kwa faida , sasa unatoa pesa ambayo nikama umeipoteza bila kupata nyingine zaidi , hiyo ni mbaya na haina afya kiuchumi.kuombwa hela inauma sana
Umeongea kitaalamu kama MANGI kweli kweli.....Ukitoa pesa unatakiwa upate pesa nyingine zaidi , yaani pesa izae pesa nyingine kwa faida , sasa unatoa pesa ambayo nikama umeipoteza bila kupata nyingine zaidi , hiyo ni mbaya na haina afya kiuchumi.
Watakurushia mawe ila ndio ukweli wenyewe huo.Ukitoa pesa unatakiwa upate pesa nyingine zaidi , yaani pesa izae pesa nyingine kwa faida , sasa unatoa pesa ambayo nikama umeipoteza bila kupata nyingine zaidi , hiyo ni mbaya na haina afya kiuchumi.
namaanisha wazawa wa hapo deutschlandMkuu una maanisha vijana wazawa au Travelers??
Tafuta pesa zako ww mwnyw, acha umalaya.Wako Busy wanalalamika hawapendi kuombwa helaš
i still hold on broJose...
Nothing is permanent, Hold on and trust the process.
Daddie.....Tafuta pesa zako ww mwnyw, acha umalaya.