Barua ya wazi kwa kijana wa kiume (20's)

namaanisha wazawa wa hapo deutschland
System ya wenzetu imewaandalia vijana mfumo wa elimu bora na hata wanapomaliza elimu wengi huendelea na ngazi za juu zaidi (masters & Phds) na ikitokea kwa mtu hajaendelea mbele zaidi bado nafasi za kazi si changamoto sana unless otherwise uchague a highly paid job. Kitu kingine wenzetu hawana tegemezi, mtoto anasomeshwa ili aje kujitegemea maisha yake na sio kuja kusaidia familia yake, na ndio maana ni rahisi kuona binti au kijana wa rika la 20's anafanya kazi miaka miwili anasave na kuja kutembea afrika. Hawana pressure kiufupi.
 
dah! dunia ya 3 tuna safari ndefu kiufupi kufika walipofika ni almost, almost improbable kama sio impossible
 
Back
Top Bottom