Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Hawezi kashazoea vya mserereko 😹Avumilie tuu 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi kashazoea vya mserereko 😹Avumilie tuu 😂
Anaitwa auntie Vee msumbufu kweli kila mwanaume mwenzie anamtaka amjojolee 😹😹Ni nani huyo?
Hiyo pic ya uncle Magu 😹😹
Unaona ni kitu cha maana sanaMuoe acheni zinaa/ au pigeni nyeto
Anafanana na BICHWA KOMWEAnaitwa auntie Vee msumbufu kweli kila mwanaume mwenzie anamtaka amjojolee 😹😹
Sasa madem hamtaki, kuoa hamtaki, nyeto hamtaki mnataka nini et watoto wazuri ?Kuoa kwa kipato gani? Au kuolea watu?
Hutaki kunichekNazingua wapi mtumishi 🤩🤩🤩
Sio Kila mtu anawaza kuajiriwa maishani mwake kama weweSafii mkuu, ongezea pia kwa wale wanaopenda kuchora tattoo,zinaa n.k. Makosa ya jinai pia ni hatari Sanaa maana unaweza chukuliwa fingerprint wakaingiza kweny system zao, jambo ambalo litapelekea usiajiriwe sehemu yoyote.
USIPO OA UTAOLEWAUnaona ni kitu cha maana sana
Kipi ni boraMuoe acheni zinaa/ au pigeni nyeto