Barua ya Wazi kwa Kocha wa Manchester Utd, Jose Mourinho

Barua ya Wazi kwa Kocha wa Manchester Utd, Jose Mourinho

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Nasema kuanzia jana na hadi mwisho wa mkataba wako kamwe sitakuwa mshabiki wako kabisaaa

Ujinga na upumbavu ulionesha jana kwa makusudi yako ndiyo yameipa timu aibu na kutolewa kipumbavu wakat uliona kabisa mbinu yako ya kumchezesha Fellaini na Matic haikuzaa lolote ila ukakausha kwa kiburi chako wakati nje yupo POGBA NA MATA

Kwenye press unaulizwa swali, wewe kwa dharau unajibu "Man utd kutolewa uefa sio kitu kigeni kwani alitolewa na Real Madrid na Fc Porto nikiwa kama kocha"

Umeshindwa kumpa nafasi dogo Mctominay kwani alionesha uwezo mkubwa katika gemu kubwa nyingi tu EPL,??? Na huwa anamsaidia aka ake Matic , sasa Felain alikuwa anampa tu kazi mwenzie lakini ukakausha,...

Anthony Martial angeweza kumsaidia Lukaku,...mimi binafsi sikuona haja ya kuwaanzisha wote Rashford na Lingaard kwani wakianzaga wote huwa kuna hali fulani ya utoto na kutofaham umuhimu wa gemu kwa siku hiyo...ushahid tunao

Mimi ni shabik nguli sana wa Manchester united kabla hata sijakufahamu ukiwa huko Fc Barcelona kocha msaidiz chini ya Van Gaal ,

Nimeandika hii post kwa hasira na uchungu sana...,natamani ungeweza kuipata na kuisoma....NIMEGUNDUA WEWE HUNA MAPENZI NA TIMU YETU WEWE....NAOMBA SANA AKINA ED WOODWARD WASHTUKIE HII ISHU KUHUSU WEWE

Nalazimika kuwaamini mtu kama PAUL SCHOLES kumbe huwa anakusema ukweli kuhusu wewe

#I WILL NEVER SUPPORT YOU BUT I WILL SUPPORT YOU
 
Duuh! Wapenzi wa mpira mna tabu. Huyo angekua karibu yako nahisi mbata zingehusika
 
Mnasemaga hivyo ila Siku mkifunga mnaanza kumpa sifa kibao.
BTW Mou hayupo JF kwa hiyo sidhani kama ataupata ujumbe wako.
 
IMG_0232.JPG
 
Mou amestuck kwenye mbinu za mwaka 2004
Either abadilike au aache ukocha maana utamshinda
 
Mkuu hicho kiinglish cha mwisho hapo chini unamaanisha nini?
 
Kosa kubwa nikumiacha Sanchez uwanjani wakati alikuwa yupo yupo tu kama anangalia sinema pale kiwanjani
 
Huyo chizi kila akisaini mkataba mpya huanza viroja. Mnamtimua na kumlipa fidia kubwa. Kesho anapata kazi nyingine.
Hana sifa ya kuwa Manager wa Man United. Mfumo wake ni timu ndogo - kujihami hata nyumbani kwake.
 
Back
Top Bottom