Wewe ni kiazi mbatata. Hata hili unajifanya hulijui?Unapoongelea kubadilisha sheria ni kuendelea kuanika uelewa wako mdogo wa suala hili kwa ujumla wake. Hakuna sheria iliyobadilishwa naona wanasheria magumashi kina Madeleka wamewaingiza mkenge na mkaingia mazima.
Haya ni majibu ya kipumbavu. Nenda katafute mengine, halafu urudi hapa kueleza upya.Kagame alijenga ICD ili afaidike na deal ya DP World, hana kosa lolote tatizo ni uelewa wetu nadhani.
Hakuna mtu mwenye uwezo wala kiburi cha kuweza kuigawa bandari ni akili za kitumwa kuamini hivyo.
Tanzania inakwenda kufaidika kwa maana ya ongezeko la mzigo utakaoshushwa pale TPA linakwenda kuongeza kile kinachokusanywa na TRA, kikiongezeka hicho kinachokusanywa maana yake miradi mingi ya ndani inakwenda kutegemea pesa zetu wenyewe.
Hii ni biashara kubwa sana tofauti na wenye hulka za kijamaa wanavyoiangalia na kuishia kuja na mawazo tofauti kabisa na lengo la uwekezaji pale bandarini.
Sasa hivi nimeamua twende kivingine; kwa hiyo jiandae kwa safari mpya.Mpumbavu ni wewe unayetoa mapovu bila ya kuelewa hata unaandika kitu gani. IGA ile ndio imesababisha biashara ya Tanzania na Dubai iweze kufanyika.
Mpimbavu ni wewe unayeelezwa mara milioni kitu kile kile na bado huelewi.
Moyo unakuuma pole sana, huwezi kushindana na serikali ni lidude fulani likuuubwa.Haya ni majibu ya kipumbavu. Nenda katafute mengine, halafu urudi hapa kueleza upya.
Sina muda tena na mipasho yako ya kipuuzi. Moyo uniume/usiniume hilo siyo shauri lako, na hiyo serikali haipo kukufurahisha wewe na genge lenu. Hiyo ni serikali ya waTanzania. Siku itafika mtafurumshwa na serikali itaendelea kuwepo ikiwatumikia waTanzania, siyo genge la wahujumu nchi.Moyo unakuuma pole sana, huwezi kushindana na serikali ni lidude fulani likuuubwa.
SSH amethibitisha ni kiongozi mwenye msimamo kwa kutosikiliza wapiga kelele wanaojificha kwenye kivuli cha uzalendo.Sina muda tena na mipasho yako ya kipuuzi. Moyo uniume/usiniume hilo siyo shauri lako, na hiyo serikali haipo kukufurahisha wewe na genge lenu. Hiyo ni serikali ya waTanzania. Siku itafika mtafurumshwa na serikali itaendelea kuwepo ikiwatumikia waTanzania, siyo genge la wahujumu nchi.
Hizi takataka zako sasa basi. Hata kusoma sisomi. Nitazijibu tu vyovyote itakavyonifaa nifanye wakati wowote.SSH amethibitisha ni kiongozi mwenye msimamo kwa kutosikiliza wapiga kelele wanaojificha kwenye kivuli cha uzalendo.
Hapa TPA mafisadi wamekuwa wakiiba kadri wanavyojisikia, kwa kigezo cha huo huo uzalendo.
Walioiba pesa za EPA na majengo pacha ya benki kuu ni wazalendo ambao unapoimbwa wimbo wa taifa mikono yao inawekwa vifuani na macho wanafumba wakijifanya wanaimba kwa hisia kali, kumbe ni mafisadi wale wale.
Uzalendo unaishi moyoni mwa mtu kuliko kile anachojifanya kukionyesha mbele ya watu, mara nyingi ni unafiki tu.