Wewe ni kiazi mbatata. Hata hili unajifanya hulijui?Unapoongelea kubadilisha sheria ni kuendelea kuanika uelewa wako mdogo wa suala hili kwa ujumla wake. Hakuna sheria iliyobadilishwa naona wanasheria magumashi kina Madeleka wamewaingiza mkenge na mkaingia mazima.
Iliyo baki sasa ni kukujibu kipumbavu tu kama unavyotaka mwenyewe, kwa sababu umekwisha elezwa kila kitu.
Usidhani nitakuacha pamoja na upumbavu wako huu wa kurudia rudia yale yale ya kipumbavu.
Kwa hiyo elewa, sasa ni uhuni tu, hakuna cha kujibu lolote la maana unapo 'quote' maandishi yangu.