The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Kijana usipokua makini,mwaka huu utaiuza mpaka Cherehani yako inayokuingizia kipato hapo Kibarazani kwa mjumbe.
Kijana usipokua makini,mwaka huu utaiuza mpaka Cherehani yako inayokuingizia kipato hapo Kibarazani kwa mjumbe.
waniite mchawi kwaniaba yako Bu😊Nitaitwa mchawi si punde!🫢
Akisha pata hiyo furaha,halafu anarudi tena kwa aliyempa stress,Hahaha,, 😂
Ntafanya chochote kwaajili Seran ili apate furaha na Amani ya moyo
ujue nimeacha pombe toka tumepatanaUnaitazama kwa meditation? Itakuwa ni hangover hiyo utakaa sawa mkuu🤭
hakuna vilio yani mateso sasa basi..Akisha pata hiyo furaha,halafu anarudi kwa aliyempa stress,
Kua makini kijana usije ukalia na kusaga meno.
Hiyo pombe utainunua kwa hela gani sasa wakati hela zote unahonga?ujue nimeacha pombe toka tumepatana
U change my life😊
Ofcourse why not?Naona uko tayari kwa lolote!
Atakujibu baadae kijana,Ofcourse why not?
I will do anything for you mamy♥️
huyo ni wangu tu amini nakwambia kwa uzuri alionao hakuna wakumsogelea...Atakujibu baadae kijana,
Sasa hivi yupo busy na mpenzi wake,
Endelea tu kusubiri.
Wewe umewahi kumuona huyo Malaika?huyo ni wangu tu amini nakwambia kwa uzuri alionao hakuna wakumsogelea...
Ulishawahi kumuona malaika?😊
OMG!! hangover ya wine bas usijali utakunywa badaye tho mm pombe nimeacha kabisaaUnaachaje mwenzio nina hangover hapa nilipo! Itabudu urudie tu twende sawa!