Ukiona binti amependana na fundi cherehani ujue kwamba anapenda zile pigo za shaashaa,chapchap nk…Tugombanie nini sasa?
Mimi namlinda huyu Dada yangu asije kupoteza muda wake kwa huyo Fundi cherehani.
Kijana kaamua kujiajiri,siwezi kumkandia.Unamkandia kijana sio poa!🤣
Pole sanaNasalitiwa mbele ya macho yangu, kweli dunia chungu hii
wivu tu unamsumbua kisa nimepata beb mkali😊Unamkandia kijana sio poa!🤣
Kweli upendo wa kweli ni mimi mwenyewe mpaka Nika Badili kabila kwa ajili yake alooh🤣🤣Pole sana
Sitaki hukuAm all ears..
HahahaTugombanie nini sasa?
Mimi namlinda huyu Dada yangu asije kupoteza muda wake kwa huyo Fundi cherehani.
For real chochote utakachosema me nafata tu 😁Maamuzi mazuri kabisa! Soon tunarudi kanisani🥰
Mapenzi hayana formulaKweli upendo wa kweli ni mimi mwenyewe mpaka Nika Badili kabila kwa ajili yake alooh🤣🤣
Nenda kamuungishe japo apate hela ya sukari robo.Wacha nimpelekee kitambaa anitolee hata kipensi cha kushindia home dah!
HahahaWacha nimpelekee kitambaa anitolee hata kipensi cha kushindia home dah!
Umeandika barua ya wazi ikose majibu kweli? Hao jamaa waanze kutoa majibu ya kina😀Sio kila taarifa unatakiwa kuijibu!
Wacha nikaugulie maumivu mbali..Mapenzi hayana formula