The Icebreaker we need answerTumuulize labda anachotaka ni niniš¤£
Ninachotaka ni kuona amani ya nafsi yako,Tumuulize labda anachotaka ni niniš¤£
Sawa kaka mkubwa nimekuelewa! Wacha nisubiri kijana ajitafute kwanza!Ninachotaka ni kuona amani ya nafsi yako,
Kwahuyo kijana utakuja kulia na utakosa wakukubembeleza,
Kaa mbali na huyo kijana ili aendelee kujitafuta kwanza kwa amani.
Kijana yani penzi tu linakufanya uamue kuziweka akili zako kwenye mfuko wa shati?Seran my LoVe ukifa tuzikwe wote tukaishi hukoo wanakosema sjui paradise valley š„°
Seran nilikwambia huyu jamaa hana nia njema toka mwanzo ona sasa anataka tuachane wakati tumeshakubalia mambo kibao na kupanga mikakati ya kutishaNinachotaka ni kuona amani ya nafsi yako,
Kwahuyo kijana utakuja kulia na utakosa wakukubembeleza,
Kaa mbali na huyo kijana ili aendelee kujitafuta kwanza kwa amani.
Whenever you go I ntaendašAu tukanunue uwanja mars?š
HahahaKijana yani penzi tu linakufanya uamue kuziweka akili zako kwenye mfuko wa shati?
twende tu tubebe nyama ,samaki,vinywaji...nkTutaenda kuzimuš
Mikakati ya kutisha kwa kumiliki cherehani moja tu?Seran nilikwambia huyu jamaa hana nia njema toka mwanzo ona sasa anataka tuachane wakati tumeshakubalia mambo kibao na kupanga mikakati ya kutisha
Future yetu ni muhimu kuliko maneno ya huyu jamaa.
Hataki kuona nikifurahia love kutoka kwa mwanamke niliekuwa na muita kitambo yan my dream woman šAisee! Kwani ukimuudhi nini?
Hahaha š¤£Mikakati ya kutisha kwa kumiliki cherehani moja tu?
šMy heart is at peace!āš½
Muongo huyoUkiona binti amependana na fundi cherehani ujue kwamba anapenda zile pigo za shaashaa,chapchap nkā¦