Barua ya wazi kwa members wenye chuki zisizo na msingi kuhusuya Id yangu!

Ninachotaka ni kuona amani ya nafsi yako,
Kwahuyo kijana utakuja kulia na utakosa wakukubembeleza,

Kaa mbali na huyo kijana ili aendelee kujitafuta kwanza kwa amani.
Seran nilikwambia huyu jamaa hana nia njema toka mwanzo ona sasa anataka tuachane wakati tumeshakubalia mambo kibao na kupanga mikakati ya kutisha

Future yetu ni muhimu kuliko maneno ya huyu jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…