Barua ya wazi kwa members wenye chuki zisizo na msingi kuhusuya Id yangu!

Bibie pole kwa maswahibu hayo, nakushauri andaa ignore list yako kwa wale wote wanaoumiza hisia zako.
 
Ongea ikutoke
 
Hahahahahaaaaa ila dogo unavituko. Nikija bongo likizo ntakutafuta nikuzabe mfulululizo wa makofi.
Hauna haja ya kurudi bongo wewe taja location nchi gani Mimi nipande , nipo radhi nichome pesa yangu ya Korosho nilipie Visa na nauli ya ndege ili nije kukutwanga huko ulipo .

Ulinipa hasira mpaka nikatafuta passport sasa ninayo nataka uitaje nchi gani wewe location tu halafu swala la kukuteka kiMafia na kukutwanga niachie Mimi . Hata nisipokuja Mimi naweza kutuma vijana wangu kushughulikia wewe Nyabumbu maana nina classmates zangu wa chuo kibao wamemwagika Scandinavian countries
 
Unatafuta kiki?
 
Pole dada Seran
ILa amini wote hawatakupenda hao wanakuattack wapotezee
Kuda ID Joanah walimuattack kwamba yeye ni wa kiume
Lakini aliwahandle vizuri

Aseee mimi ni wa kiume
Huoni hizi kende 2sexy 😃

Nwei, kimsingi JF sidhani kama jinsia ina-matter ... i mean,JF is all about being fake,sasa mtu akijua jinsia yako inakusaidia nini? Kama wakidhani ni wa kike fresh,wakidhani ni kiume ni fresh zaidi

Utapata tabu kuaminisha watu jinsia yako kama kuna malengo yako ya "pembeni" unawish yatimie

Si ndio braza Evelyn Salt ?

Asiiione The Icebreaker wala braza min -me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…