Barua ya wazi kwa Mheshimiwa Rais Dr. John Pombe Magufuli

sidhani kama atasoma we tafuteni mawasiliano na CDF
ba kama mafunzo ya jeshi yamewashinda matofali juu ya ghorofa mlipandishaje
au mlimuuzia mkula mbuzi kwa gunia
Hayo ni maswali ambayo unaweza kujiulza na ukapata majibu waz kwa kufkri tu.
 
Viongozi wa JWTZ wako sawa. Ili uingie pale lazima uwe umetimiza masharti yao yote. Mfano hata urefu wa mtu ni kigezo, alama yeyote mwilini ni kigezo nk. Tuwe na wanajeshi ambao wana vigezo vyote vyote vinavyotakiwa. Hapa hakuna cha upemdeleo.
 
Inasikitisha sana hii habari, na hili liwe fundisho kwa vijana wengine ambao wanadhania watapata unafuu kwa kupitia njia mlio ipitia ninyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China inawekeza kwa wafungwa mnashindwa nini kuwekeza kwa hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari nimesoma vma barua hii au ujumbe huu polen san vijana kwa kuumia kwa kazo ngumu za kujenga taifa na kuwa wazalendo wa nchi yetu na tumaini rais aliwapa pongezi na kuwatakia ajira ili muwez kupambania nchi yetu lakini naumia sana kuona watu 305 wote kutolewa katka ajira wakati wote mlikuwa mnajenga nchi imeniuma sana nilipoona hii barua naomba mungu asimamie kuna secta nyingi sana za kuwaweka angalau maisha yaendelee mungu ampe moyo mwepesi rais aweze kutoa maamuz sahii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wa JWTZ wako sawa. Ili uingie pale lazima uwe umetimiza masharti yao yote. Mfano hata urefu wa mtu ni kigezo, alama yeyote mwilini ni kigezo nk. Tuwe na wanajeshi ambao wana vigezo vyote vyote vinavyotakiwa. Hapa hakuna cha upemdeleo.
Vijana wako sahihi,sema ujui lile ni Agizo la Rais uwa alipingwi wala kujadiliwa ilo usemalo wew n sahihi kuna watu walijenga daraja kilosa na wengine kujenga majengo baadhi pale Dodoma walipewa Ajira pale pale bila shuruti wala kubaguliwa,polen ndg zangu bhana dah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wap wakilishi wafikish jambo hil
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo swala la nyie kuwa UNFIT shida ilikuwa ni nini hata???...maanake it doesnt make sense vijana 305 wote muwe na mapungufu...kama mlikuwa UNFIT hiyo miradi mlifanikisha vipi....?????
Aise neno UNFIT kabla ya kuwa recruited katika vyombo vya ulinzi na usalama huwa inamaisha nini? Huwenda hawako physical fit na hapa huwa ni papana pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barus hii imeniumiza sana mpaka naona vijana wanateseka mno na wanapata bahat lakini bado haiwafikii walengwa [emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni swala ambalo ni gumu kdg kulizungumzia hum kiundani zaidi lakn kikubwa kilio chetu tunahitaji kimfkie mheshimiwa Rais Ntashkuru kma utakua na msaada na hlo hata kuweza kushare.
Tatizo liko wazi na linajulikana ila liko kiafya zaidi, ila muwe na subira kilio chenu kinafanyiwa kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika Dunia hii wanaojitoa sadaka kwa ajili ya wengine hufanya hivyo kwa kuutoa hata uhai wao.
Kumbuka wakati wa Vita ya Tanzania na Uganda, vijana wengi wa mgambo walichukuliwa vijijini kwenda kupigana. Wengine walipoteza maisha, wengine walipata ulemavu na waliorudi salama hawakufaidika sana zaidi ya kurudi kijijini na kuendelea na maisha ya kawaida.
Tunamwomba Rais wetu afanye fadhila na kuwapa shake hand au mkono wa pole na kwaheri kwa kuwatunuku na kuwapa msaada kidogo.
Hata kupewa heshima tu ya medali ina maana zaidi kuliko pesa.
Katika Inchi yetu Waathirika wa aina hii ni wengi na kuna wakati wanajiona kama wao si Watanzania ukilinganisha na wengine ambao wanafaidi matunda ya Inchi hii kwa kwenda mbele.
Kuna Double standard nyingi sana katika kuwapa haki Watanzania walio wengi.
Rais aliyeko madarakani anajitahidi sana kuondoa kero hizi kwa mtu moja moja na kwa makundi ya watu.
Kwa mfano kwenye swala Zima la nyumba za umma, Kuna watumishi wengi wa Serikali wametumia nafasi ya kuuziwa nyumba Watanzania walioko kwenye nyumba hizo kwa kuwanyanyasa na kuwatoa ili wao wanunue nyumba hizo.
Rais wetu amekemea hili na kumekuwa na utulivu kidogo ingawaje mbinu chafu bado ziko pale pale.
Mafao ya Watumishi yanatofautiana sana. Wengine wanapewa mamilioni ya pesa lakini wengine hawalipwi kabisa kwa sababu viongozi wao wa juu waliiba mali ya umma na kufanya mashirika hayo ya umma kufilisika.
 
Eti inasemekana baada ya mheshimiwa kuwa rais
Miji ya usukumani imenawiri kama miji ya uchagani.


Ukitoa Arusha ya WAARUSHA wenyewe na si ya wachagga,,,mji gani mwingine ulionawiri kuzidi za lake zone??

1 Dar
2 Mwanza
3 Endelea na list yako
 
Ukizingatia matatizo tuliorudishwa nayo ni yale tuliyoyapata moja kwa moja kwenye miradi kwa maana ya kimazingira na kazi ngumu tulizokua tukizifanya.


Malipo ya kuoka kwa Mungu ndiyo malipo yenye thamani kubwa kuliko kingine chochote
 
Econometrician,
UNFIT maana ake tuna matatzo ya kiafya.

Ni suala gum kdg kulizungumzia kiundani zaid, lakn kikubwa tunazd kumuomba mwenyez mung siku moja bas ifke na sisi ionekane thamani yetu na mchango wetu katika kulijenga Taifa.
Ahsante sana.
Wengi mtakua na tatizo la kifua, mana vumbi la cement,mchanga huleta madhara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…