Barua ya wazi kwa Mheshimiwa Rais Dr. John Pombe Magufuli

Kama unfit waliwezaje kunyanyua matofali pale ukonga kwenye ghorofa za magereza
 
Kuna wale waliopitia jkt na kurudi makwao op magufuli wameshaajiriwa juzi na wanaenda kuwa maafisa watendaji wa kata, kwa wenye shahada lakini.
View attachment 1363029

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio kila aliepeleka cv na vyeti alipata hyo ajira Kama katibu alivyosema Kwenye clip sasa cjui ni shda nn ila walichukuliwa wachache kwa vigezo wanavyovijua wao
 
Kwanza polen sana vijana,suala lenu nlilisikia toka mwez wa kumi na mbili mwaka jana kuna dogo nae n muhanga WA hili,aliniambia ukweli kuhusu hili suala ,kwanza ni utata WA usaili kwa maana ya kusailiwa watu ambao hawakushiriki kwenye miradi au Ambao hawakua kwenye idadi ya raisi mpendwa Dr John pombe Joseph magufuli aliyoitoa pale dodoma,pili ni matatizo mliorudishwa ni yale ambayo mliyapata mkiwa kwenye miradi, so sad ila aliniambia mlipeleka malalamiko kwa kumfuata raisi akiwa chato lakn wawakilishi wake walikua wanaleta vizingiti taharifa zisifike kwa mzee,. polen Sana ile ilikua zawadi kwenu lakin imekua maumivu kwenu kama kweli raisi anapitia hapa naomba awa angalie kwa jicho lingine mchango wenu ni mkubwa hamkupaswa Kulipwa hik walichowafanyia raisi ana dhamira ya dhati kuwapa zawadi ya ajira ila shida ni kwa wale anaowapa majukumu kusimamia sio wazalendo ni wabinafsi wa kutaka ndugu zao na familia zao zifaifike ,ifike Mahala viongozi wanaopewa dhamana kusimamia maagizo ya amri jesh mkuu watumie busara na hekima katk kutekeleza majukumu.polen sana Mungu atawalipia
 
Basi kama ni hivyo kwa kuwa wana taarifa zao tayari basi kuna fursa nyingine wataitwa tena.Tuwape muda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jinsi mambo yalivyo ebu fuatilieni mana agizo lilikua wazi kwa raisi vijana opp magufuli wapatiwe ajira na alisema idadi yenu haizidi mia nane iweje wachukuliwe baadhi wengine waachwe? Ndo yale yale raisi ana dhamira ya dhat kbsa kwa wananchi wake ila wawakilshi wake wanamuangusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…