Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,534
- 5,342
Huyu jamaa anadhani hapa ni PM itakuwa na hapa anahisi amemtumia ujumbe Mshana na Bill lugano.sasa hao kina mshana na lugano wanahusika kwenye nini hapa?
huyo jamaa hakikisha unamla mamako atakuita baba
Nenda kajifunze boxerShikamoo bro Mimi ni kijana wa miaka 22 Kuna jamaa mmoja hapa mtaani kwetu ananifanya naishi Kwa maumivu makali sana
Jamaa ni mshkaji wangu anakuja home tunaenda Bandaumiza pamoja ila anatoka na dada yangu ninayemfata
Badala afanye Siri anayanya makusudi akiwa na washkaji zangu wengine anawasimulia ambavyo dada yangu anampa yote inaniumiza sana .Mimi na sister tunaheshimiana then mtu from no where Tena mshkaji kabisa anadiriki kuona uchi wa dada yangu.
Najisikia vibaya sana nimemtongoza mdogo wake nimemueleza vitu ambavyo kaka yake anamfanyia dada yangu ananicheka na yeye then hataki tuwe na mahusiano.
Huu siyo ushkaji ni unafiki na mm sitaki Kuwa na rafiki snitch nilimwambia asinifatilie afanye yake Nifanye yangu lakini bado ananifatilia kila ninapoenda nilimwambia akitaka tuendelee na urafiki aachane na dada angu siyo kumchezea ndugu yangu huku naona Kwa macho yangu tena anatamba aty anapewa yote.
Akiendelea kunifatafata cjui nimfanye kitu gani
kama ni hivyo anahaki ya kugongewa dadake kwazarauHuyu jamaa anadhani hapa ni PM itakuwa.
Jamaa Ananikumbusha enzi zile za Facebook ndiyo inaanza kutamba Tz.kama ni hivyo anahaki ya kugongewa dadake kwazarau
😂unyonge huunilimwambia akitaka tuendelee na urafiki aachane na dada angu
Ataleta ugomvi, hao wataachana tu.Mkanye dada yako kama we ni kaka bora… wahenga wanasema wa kiume hata akiwa lastborn ni kaka..
Hii barua ilitakiwa iende kwa mzabuzabuAtaleta ugomvi, hao wataachana tu.