Kisima
Platinum Member
- Oct 8, 2010
- 4,793
- 6,569
Kwahiyo umekuja kumshitaki kwa Mshana Jr ili ampige kipapai au unaombea heri huyo dada yako angetoka na Bill Lugano uambulie mijihela.
We hujui uchungu wa Dada eehMshana jr afanyaje Sasa, we ulitaka dada aliwe na nani?
Mambo ya dada na mahusiano yake mwachie labda akilalamika
Atakuwa busy na mishangazi yakeHii barua ilitakiwa iende kwa mzabuzabu
mtag huyu mwamba sijui kapotelea wapi!
Aisee kweli kabisa😂unyonge huu
mteme huyo jamaa sio mwana
Kwani huyo dada ako utamuoa wewe ,basi nenda weweShikamoo bro Mimi ni kijana wa miaka 22 Kuna jamaa mmoja hapa mtaani kwetu ananifanya naishi Kwa maumivu makali sana
Jamaa ni mshkaji wangu anakuja home tunaenda Bandaumiza pamoja ila anatoka na dada yangu ninayemfata
Badala afanye Siri anayanya makusudi akiwa na washkaji zangu wengine anawasimulia ambavyo dada yangu anampa yote inaniumiza sana .Mimi na sister tunaheshimiana then mtu from no where Tena mshkaji kabisa anadiriki kuona uchi wa dada yangu.
Najisikia vibaya sana nimemtongoza mdogo wake nimemueleza vitu ambavyo kaka yake anamfanyia dada yangu ananicheka na yeye then hataki tuwe na mahusiano.
Huu siyo ushkaji ni unafiki na mm sitaki Kuwa na rafiki snitch nilimwambia asinifatilie afanye yake Nifanye yangu lakini bado ananifatilia kila ninapoenda nilimwambia akitaka tuendelee na urafiki aachane na dada angu siyo kumchezea ndugu yangu huku naona Kwa macho yangu tena anatamba aty anapewa yote.
Akiendelea kunifatafata cjui nimfanye kitu gani
Mtakuja kutuua jamani. Nimecheka sanamkwepe mshikaji ukishindwa mpe signo akukamue mana malalamiko yako hayana mana
Kamtongoze mother yake tena komaa kinoma mpaka mama aje akusemee kwenuShikamoo bro Mimi ni kijana wa miaka 22 Kuna jamaa mmoja hapa mtaani kwetu ananifanya naishi Kwa maumivu makali sana
Jamaa ni mshkaji wangu anakuja home tunaenda Bandaumiza pamoja ila anatoka na dada yangu ninayemfata
Badala afanye Siri anayanya makusudi akiwa na washkaji zangu wengine anawasimulia ambavyo dada yangu anampa yote inaniumiza sana .Mimi na sister tunaheshimiana then mtu from no where Tena mshkaji kabisa anadiriki kuona uchi wa dada yangu.
Najisikia vibaya sana nimemtongoza mdogo wake nimemueleza vitu ambavyo kaka yake anamfanyia dada yangu ananicheka na yeye then hataki tuwe na mahusiano.
Huu siyo ushkaji ni unafiki na mm sitaki Kuwa na rafiki snitch nilimwambia asinifatilie afanye yake Nifanye yangu lakini bado ananifatilia kila ninapoenda nilimwambia akitaka tuendelee na urafiki aachane na dada angu siyo kumchezea ndugu yangu huku naona Kwa macho yangu tena anatamba aty anapewa yote.
Akiendelea kunifatafata cjui nimfanye kitu gani
hahahahahaaaa utatuua ngonyani.Jamaa Ananikumbusha enzi zile za Facebook ndiyo inaanza kutamba Tz.
Ushamba wa Binti mmoja wakati anachati na boyfriend wake jamaa akataka Binti atume picha ya kitumbua, Binti akaweka profile picture kwa kudhani ndiyo amemtumia mwamba.
Mwamba anasubiri picha kumbe picha ya Zaga imetumwa public Kila mtu anaona. Jamaa anaulizia picha iko wapi anajibiwa nimeshakutumia mbona. Mwamba yakamcheza machale kuangalia page ya bibie anakutana na papa imejaa profile na watu kibao wanacomment.
Kamcheki bibie afute haraka,bibie kwa kupagawa badala afute picha yeye akalog out hahaha.
Alafu password ameisahau,hawezi kulog in Tena.
Labda 29oct...mzabzab ni mda mrefu haonekan
Shikamoo bro Mimi ni kijana wa miaka 22 Kuna jamaa mmoja hapa mtaani kwetu ananifanya naishi Kwa maumivu makali sana
Jamaa ni mshkaji wangu anakuja home tunaenda Bandaumiza pamoja ila anatoka na dada yangu ninayemfata
Badala afanye Siri anayanya makusudi akiwa na washkaji zangu wengine anawasimulia ambavyo dada yangu anampa yote inaniumiza sana .Mimi na sister tunaheshimiana then mtu from no where Tena mshkaji kabisa anadiriki kuona uchi wa dada yangu.
Najisikia vibaya sana nimemtongoza mdogo wake nimemueleza vitu ambavyo kaka yake anamfanyia dada yangu ananicheka na yeye then hataki tuwe na mahusiano.
Huu siyo ushkaji ni unafiki na mm sitaki Kuwa na rafiki snitch nilimwambia asinifatilie afanye yake Nifanye yangu lakini bado ananifatilia kila ninapoenda nilimwambia akitaka tuendelee na urafiki aachane na dada angu siyo kumchezea ndugu yangu huku naona Kwa macho yangu tena anatamba aty anapewa yote.
Akiendelea kunifatafata cjui nimfanye kitu gani
Hii chaiJamaa Ananikumbusha enzi zile za Facebook ndiyo inaanza kutamba Tz.
Ushamba wa Binti mmoja wakati anachati na boyfriend wake jamaa akataka Binti atume picha ya kitumbua, Binti akaweka profile picture kwa kudhani ndiyo amemtumia mwamba.
Mwamba anasubiri picha kumbe picha ya Zaga imetumwa public Kila mtu anaona. Jamaa anaulizia picha iko wapi anajibiwa nimeshakutumia mbona. Mwamba yakamcheza machale kuangalia page ya bibie anakutana na papa imejaa profile na watu kibao wanacomment.
Kamcheki bibie afute haraka,bibie kwa kupagawa badala afute picha yeye akalog out hahaha.
Alafu password ameisahau,hawezi kulog in Tena.
Ulikuwa mdogo enzi za miaka ya 2007-2014 lazima hii hadithi uone mufindi.
Hukutaka mdogo wako apate raha?, sijui kwanini wanaume wengi mna wivu na dada zenuNadhani amemwita Mshana Jr ili amsaidie mambo ya kienyeji ikiwezekana akamtoe jamaa kabusha bila kujua Mshana mwenyewe ameokoka siku hizi! Anyway umeingia kichwa kichwa kwenye revenge yako mimi enzi zangu za utotoni ilinitokea hii, jamaa mshkaji halafu best wangu kinoma akamla mdogo wangu halafu anajisifu kwa masela, nilijifanya fala nikajifanya sijui lolote nikammendea sista wake mdogomdogo nikijifanya nampenda na hata vijihela vyangu nikawa namhonga alipoingia kwenye 18 nikapita na papuchi yake halafu nikawa najiachia mitaa watu wakajua nikawa nimesharevenge vile nilivyotaka.