Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
😀😀😀Kwahiyo umekuja kumshitaki kwa Mshana Jr ili ampige kipapai au unaombea heri huyo dada yako angetoka na Bill Lugano uambulie mijihela.
😀😀😀Kwahiyo umekuja kumshitaki kwa Mshana Jr ili ampige kipapai au unaombea heri huyo dada yako angetoka na Bill Lugano uambulie mijihela.
Hili ni ombi maalum na ni rasmi na limesomwa na wote! Kwa umuhimu wake huu na kwa namna jamaa alivyokufanyia kwa Dada yako unayemheshimu Sana halafu mdogo wake akashindwa kukufanyia kama dadaako anavyomfanyia jamaa itabidi tufanye jambo litakalokuwa mfano na warningi kwa wengine wenye tabia kama hizoShikamoo bro Mimi ni kijana wa miaka 22 Kuna jamaa mmoja hapa mtaani kwetu ananifanya naishi Kwa maumivu makali sana
Jamaa ni mshkaji wangu anakuja home tunaenda Bandaumiza pamoja ila anatoka na dada yangu ninayemfata
Badala afanye Siri anayanya makusudi akiwa na washkaji zangu wengine anawasimulia ambavyo dada yangu anampa yote inaniumiza sana .Mimi na sister tunaheshimiana then mtu from no where Tena mshkaji kabisa anadiriki kuona uchi wa dada yangu.
Najisikia vibaya sana nimemtongoza mdogo wake nimemueleza vitu ambavyo kaka yake anamfanyia dada yangu ananicheka na yeye then hataki tuwe na mahusiano.
Huu siyo ushkaji ni unafiki na mm sitaki Kuwa na rafiki snitch nilimwambia asinifatilie afanye yake Nifanye yangu lakini bado ananifatilia kila ninapoenda nilimwambia akitaka tuendelee na urafiki aachane na dada angu siyo kumchezea ndugu yangu huku naona Kwa macho yangu tena anatamba aty anapewa yote.
Akiendelea kunifatafata cjui nimfanye kitu gani
kalikuwa bado kadogo hata kifua kilikuwa hakija chomoza vizuri bora hata angepita na sista alikuwa ameshakomaa kipindi hichoHukutaka mdogo wako apate raha?, sijui kwanini wanaume wengi mna wivu na dada zenu
Mahana kazingua nini tena jamaniShikamoo bro Mimi ni kijana wa miaka 22 Kuna jamaa mmoja hapa mtaani kwetu ananifanya naishi Kwa maumivu makali sana
Jamaa ni mshkaji wangu anakuja home tunaenda Bandaumiza pamoja ila anatoka na dada yangu ninayemfata
Badala afanye Siri anayanya makusudi akiwa na washkaji zangu wengine anawasimulia ambavyo dada yangu anampa yote inaniumiza sana .Mimi na sister tunaheshimiana then mtu from no where Tena mshkaji kabisa anadiriki kuona uchi wa dada yangu.
Najisikia vibaya sana nimemtongoza mdogo wake nimemueleza vitu ambavyo kaka yake anamfanyia dada yangu ananicheka na yeye then hataki tuwe na mahusiano.
Huu siyo ushkaji ni unafiki na mm sitaki Kuwa na rafiki snitch nilimwambia asinifatilie afanye yake Nifanye yangu lakini bado ananifatilia kila ninapoenda nilimwambia akitaka tuendelee na urafiki aachane na dada angu siyo kumchezea ndugu yangu huku naona Kwa macho yangu tena anatamba aty anapewa yote.
Akiendelea kunifatafata cjui nimfanye kitu gani
Dah nimejiskia vibaya sana 🥱ila ungemkataza mdogo wako hata Kwa vibokokalikuwa bado kadogo hata kifua kilikuwa hakija chomoza vizuri bora hata angepita na sista alikuwa ameshakomaa kipindi hicho
Asante sana kwa msaada wa kisasiHili ni ombi maalum na ni rasmi na limesomwa na wote! Kwa umuhimu wake huu na kwa namna jamaa alivyokufanyia kwa Dada yako unayemheshimu Sana halafu mdogo wake akashindwa kukufanyia kama dadaako anavyomfanyia jamaa itabidi tufanye jambo litakalokuwa mfano na warningi kwa wengine wenye tabia kama hizo
Lakini pia dadaako unayemheshimu Sana anastahili adhabu yake tofauti.. Hiyo nitampa mimi
😁😁😁😁😁 Dah hio ilikuwa kaliJamaa Ananikumbusha enzi zile za Facebook ndiyo inaanza kutambaTz.
Ushamba wa Binti mmoja wakati anachati na boyfriend wake jamaa akataka Binti atume picha ya kitumbua, Binti akaweka profile picture kwa kudhani ndiyo amemtumia mwamba.
Mwamba anasubiri picha kumbe picha ya Zaga imetumwa public Kila mtu anaona. Jamaa anaulizia picha iko wapi anajibiwa nimeshakutumia mbona. Mwamba yakamcheza machale kuangalia page ya bibie anakutana na papa imejaa profile na watu kibao wanacomment.
Kamcheki bibie afute haraka,bibie kwa kupagawa badala afute picha yeye akalog out hahaha.
Alafu password ameisahau,hawezi kulog in Tena.