Barua ya wazi kwa Mshana Jr na Bill Lugano

Nadhani amemwita Mshana Jr ili amsaidie mambo ya kienyeji ikiwezekana akamtoe jamaa kabusha bila kujua Mshana mwenyewe ameokoka siku hizi! Anyway umeingia kichwa kichwa kwenye revenge yako mimi enzi zangu za utotoni ilinitokea hii, jamaa mshkaji halafu best wangu kinoma akamla mdogo wangu halafu anajisifu kwa masela, nilijifanya fala nikajifanya sijui lolote nikammendea sista wake mdogomdogo nikijifanya nampenda na hata vijihela vyangu nikawa namhonga alipoingia kwenye 18 nikapita na papuchi yake halafu nikawa najiachia mitaa watu wakajua nikawa nimesharevenge vile nilivyotaka.
 
Kwani huyo dada ako utamuoa wewe ,basi nenda wewe
 
-Mwambie ukweli mshkaji wako Aache
-Achana na mazoea ya huyo mshkaji

-Alf mwenzio anaona sifa ukizidi kuona unaumia yeye ndio anafurahi
Kaa naye mbali

-Dada yako mshauri awe makini na huyo jamaa na umwambie alichosema
-Focus in your goals
Achana na marafiki wa namna hiyo
 
Kamtongoze mother yake tena komaa kinoma mpaka mama aje akusemee kwenu
 
hahahahahaaaa utatuua ngonyani.
 


HUYO JAMAA NIMEONA ANAKUTAKA HADI WEWE. KWA HUU UANDISHI ATAWACHAKATA WOTE WAWILI. WEWE NA DADAYO. WOTE MTALIWA.
 
Hii chai
 
Hukutaka mdogo wako apate raha?, sijui kwanini wanaume wengi mna wivu na dada zenu
 
Reactions: LU2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…