Barua ya wazi kwa mshana Jr

duuuh mficha maradhi uchi himuumbua mtaje jina watu wakusaidie au mfate pm huku unakebehi tu hajapenda bhana
 
Mshana Jr mimi kama hacker wa JF nakuona uko busy sana kwenye pm ya moniccca ila sijajua ndo unamuunganisha na jamaa au ndo upo kwenye process za kujichukulia mkuu!![emoji1]........majibu please!![emoji30]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
au kama akiona hiyo ni ngumu na anaogopa kiza atumie hii hapa
 
Huyu demu anayejiita Moniccca ana kipi cha ziada?
Mbona mnampapatikia hivi?
[emoji12] au ana qumer ya dhahabu ili na mimi niunge tela?
[emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…