Barua ya wazi kwa mshana Jr

Barua ya wazi kwa mshana Jr

duuuh mficha maradhi uchi himuumbua mtaje jina watu wakusaidie au mfate pm huku unakebehi tu hajapenda bhana
 
1477516836266.jpg
1477516844861.jpg
1477516854321.jpg
tangazo mwenye mali zake ani'PM nimemhifadhia
 
Mshana Jr mimi kama hacker wa JF nakuona uko busy sana kwenye pm ya moniccca ila sijajua ndo unamuunganisha na jamaa au ndo upo kwenye process za kujichukulia mkuu!![emoji1]........majibu please!![emoji30]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Pole sana Monicca. Naomba kidogo nimsaidie mtani wangu mshana jr, labda atatusaidia dawa nyingine kama hii haitofanikiwa. Ila nakumbuka hii dawa iliwahi kuwasaidia watu wengi na wengine tuko nao humu JF wanaendelea na malavu davi kwa raha zao. Sio vibaya nawe ukabahatika kuukonga mtima wako kwa kumpata huyo umpendae. Chukua jani la Mti wa Mkungu, jani hili liwe la kwanza juu katika tawi la ncha ya mti huo yaani bado changa na teketeke. Jani hilo huchumwa usiku wa manane ukiwa mtupu (uchi).
Kabla ya kuupanda Mkungu, piga hodi mara tatu katika mti huo hatua chache kabla haujafika ukiwa unaurushia unga wa dona ukikosa dona urushie sembe, utasema hivi -"Hodiii, wakazi wa mti huu mimi nimekuja kwenu kuchukua dawa itakayonisaidia katika shida yangu ya kumpata .... (mtaje) na wala sikuja kwenu kuchukua sumu ya kumdhuru mtu."
Zunguka mti huo mara moja kulia kwenda kushoto. Panda na uchume jani shuka nalo bila kuliangusha chini, ukiliangusha jani hilo hautoweza kufanikiwa jambo lako.
Likaushe juani kisha litwange na liwe unga laini. Changanya unga huo na chumvi ya mawe kisha utakua unachoma mchanganyiko huo katika kitezo hali ya kuwa unajifukiza ukiwa mtupu (uchi).
Siku ya kwanza kuchoma iwe sio siku ya hedhi na iwe usiku wa manane utaendelea kwa muda wa waku 14 mpaka 21. utakua unatia nia ya kumwita kimapenzi unaemkusudia. Utamuona huyooo anakuja huku akiwa na tabasamu lenye bashasha. Mlaki vizuri, na kabla ya tendo la ndoa unyunyizie kidogo sana hayo mavumba ukeni.
1477535705731.jpg
au kama akiona hiyo ni ngumu na anaogopa kiza atumie hii hapa
1477535759821.jpg
 
Back
Top Bottom