Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Kweli ni ngumu mwanaume kumface mwanaume mwenzake na kumuambia anataka kugegedwa.
Mnhhhh....sio kwa avatar hiyo dahhhh....na mie naomba kizizi kwa mshana....ka mbway na iwe mbway banaaa....mzuri mpaka unakeraaaa
[emoji23] [emoji23]View attachment 424791View attachment 424793View attachment 424794tangazo mwenye mali zake ani'PM nimemhifadhia
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mshana Jr mimi kama hacker wa JF nakuona uko busy sana kwenye pm ya moniccca ila sijajua ndo unamuunganisha na jamaa au ndo upo kwenye process za kujichukulia mkuu!![emoji1]........majibu please!![emoji30]
Pole sana Monicca. Naomba kidogo nimsaidie mtani wangu mshana jr, labda atatusaidia dawa nyingine kama hii haitofanikiwa. Ila nakumbuka hii dawa iliwahi kuwasaidia watu wengi na wengine tuko nao humu JF wanaendelea na malavu davi kwa raha zao. Sio vibaya nawe ukabahatika kuukonga mtima wako kwa kumpata huyo umpendae. Chukua jani la Mti wa Mkungu, jani hili liwe la kwanza juu katika tawi la ncha ya mti huo yaani bado changa na teketeke. Jani hilo huchumwa usiku wa manane ukiwa mtupu (uchi).
Kabla ya kuupanda Mkungu, piga hodi mara tatu katika mti huo hatua chache kabla haujafika ukiwa unaurushia unga wa dona ukikosa dona urushie sembe, utasema hivi -"Hodiii, wakazi wa mti huu mimi nimekuja kwenu kuchukua dawa itakayonisaidia katika shida yangu ya kumpata .... (mtaje) na wala sikuja kwenu kuchukua sumu ya kumdhuru mtu."
Zunguka mti huo mara moja kulia kwenda kushoto. Panda na uchume jani shuka nalo bila kuliangusha chini, ukiliangusha jani hilo hautoweza kufanikiwa jambo lako.
Likaushe juani kisha litwange na liwe unga laini. Changanya unga huo na chumvi ya mawe kisha utakua unachoma mchanganyiko huo katika kitezo hali ya kuwa unajifukiza ukiwa mtupu (uchi).
Siku ya kwanza kuchoma iwe sio siku ya hedhi na iwe usiku wa manane utaendelea kwa muda wa waku 14 mpaka 21. utakua unatia nia ya kumwita kimapenzi unaemkusudia. Utamuona huyooo anakuja huku akiwa na tabasamu lenye bashasha. Mlaki vizuri, na kabla ya tendo la ndoa unyunyizie kidogo sana hayo mavumba ukeni.
[emoji23] [emoji23] nioge kwani nimefanya ma2c?[emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji102] [emoji144] [emoji15] [emoji23] [emoji23]Hapana , kwa sababu umekuja kwa kuchelewa kutoka kazini
una maanisha kuwa Monica n.....Kweli ni ngumu mwanaume kumface mwanaume mwenzake na kumuambia anataka kugegedwa.
Ahsante my sweet mangii....
[emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu demu anayejiita Moniccca ana kipi cha ziada?
Mbona mnampapatikia hivi?
[emoji12] au ana qumer ya dhahabu ili na mimi niunge tela?
Avatar yako mbaya haivutii kabisa[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji15]Ahsante my sweet mangii....
Am sure hadi sasa ipo kwa gallery yako... 😀Avatar yako mbaya haivutii kabisa[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji15]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]mie zaidi babe
Nimeitoa [emoji13]Am sure hadi sasa ipo kwa gallery yako... 😀
Sipati picha ulivoisave chap chap ukidhani naweza change lolNimeitoa [emoji13]