Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Moniccca amemfia mshana jrMshana jivutie kwako....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moniccca amemfia mshana jrMshana jivutie kwako....
mshana jr afanye kweliMoniccca amemfia mshana jr
Unamtafuta maneno my sweet mangii MentorSister naona kwenye avatar umemtoa nephew wangu na ukaamua kukaa mwenyewe.....hainaga nini vile ?!
Hili nalo neno, Inawezekana ndo maana mshana hachangamkii fursa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tatizo kubwa la moniccca ataleta mrejesho hapa,huenda mshana jr hayuko fit uwanjani..na moniccca hanaga siri atamuumbua kuwa anamchafua bure
Ngoja tutaona mrejesho labda pia anampima mshana jr kama ni mganga kweli au laHili nalo neno, Inawezekana ndo maana mshana hachangamkii fursa
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] hii reply imeniuma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tatizo kubwa la moniccca ataleta mrejesho hapa,huenda mshana jr hayuko fit uwanjani..na moniccca hanaga siri atamuumbua kuwa anamchafua bure
Hili nalo neno, Inawezekana ndo maana mshana hachangamkii fursa
Ngoja tutaona mrejesho labda pia anampima mshana jr kama ni mganga kweli au la
Fanya kweli sasa ili tupate mrejesho teh[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] hii reply imeniuma
Poleeee, na unisamehee mkuu utani tu[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] hii reply imeniuma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Fanya kweli sasa ili tupate mrejesho teh
We si ulisema umeolewa lakini?Siku hizi tunaongelea hadharani...sema shida yako
Mmmmmmh ...tuungoje huo mrejesho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tatizo kubwa la moniccca ataleta mrejesho hapa,huenda mshana jr hayuko fit uwanjani..na moniccca hanaga siri atamuumbua kuwa anamchafua bure
Yaani mtu katumia ile slogan ya tigo express nini nini sijui bado tu hujaelewa? Kuna hali flan hivi labda unatembea au mmekaa sehemu watu wengi kisha inapigwa mbinja au hata kijiwe kidogo unageuka kisha jamaa anakwambia sio wewe nistulie huyo jirani yako sitaki kuamini kama huyo bibie nae anamaanisha hivyo.[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] hii reply imeniuma
[emoji188] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji106] utu uzima dawa nimekupata kakaYaani mtu katumia ile slogan ya tigo express nini nini sijui bado tu hujaelewa? Kuna hali flan hivi labda unatembea au mmekaa sehemu watu wengi kisha inapigwa mbinja au hata kijiwe kidogo unageuka kisha jamaa anakwambia sio wewe nistulie huyo jirani yako sitaki kuamini kama huyo bibie nae anamaanisha hivyo.
Wacha nikae mkao wa kusubiri mrejesho nadhani utakuwa wa nguvu na mafanikio kila la kheri in advance.[emoji188] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji106] utu uzima dawa nimekupata kaka
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ila kumbuka mlengwa sio mimiWacha nikae mkao wa kusubiri mrejesho nadhani utakuwa wa nguvu na mafanikio kila la kheri in advance.
Shamba la bwana kheri[emoji3] [emoji3] [emoji3] ila kumbuka mlengwa sio mimi