Barua ya wazi kwa mshana Jr

Barua ya wazi kwa mshana Jr

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tatizo kubwa la moniccca ataleta mrejesho hapa,huenda mshana jr hayuko fit uwanjani..na moniccca hanaga siri atamuumbua kuwa anamchafua bure
Hili nalo neno, Inawezekana ndo maana mshana hachangamkii fursa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tatizo kubwa la moniccca ataleta mrejesho hapa,huenda mshana jr hayuko fit uwanjani..na moniccca hanaga siri atamuumbua kuwa anamchafua bure
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] hii reply imeniuma
 
Mmmmmmh ...tuungoje huo mrejesho
 
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] hii reply imeniuma
Yaani mtu katumia ile slogan ya tigo express nini nini sijui bado tu hujaelewa? Kuna hali flan hivi labda unatembea au mmekaa sehemu watu wengi kisha inapigwa mbinja au hata kijiwe kidogo unageuka kisha jamaa anakwambia sio wewe nistulie huyo jirani yako sitaki kuamini kama huyo bibie nae anamaanisha hivyo.
 
[emoji188] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji106] utu uzima dawa nimekupata kaka
 
Back
Top Bottom