Wewe umefanya kitu gani cha maana au kuchochea wenzako wakanyee debe? Toka na wewe tukuone unanyea debe!Ndio gharama za demokrasia, hata Mandela alinyea debe kwa 27yrs, na akageuka shujaa kuliko yule dhalimu aliyeko motoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umefanya kitu gani cha maana au kuchochea wenzako wakanyee debe? Toka na wewe tukuone unanyea debe!Ndio gharama za demokrasia, hata Mandela alinyea debe kwa 27yrs, na akageuka shujaa kuliko yule dhalimu aliyeko motoni.
Jibu swali ulimsaidia nini?Wewe ni CCM kindakindaki huwezi kutoa ushauri mzuri kwa CHADEMA
ni makosa la jinai kuwafananisha hawa wahuni na mandela.Ndio gharama za demokrasia, hata Mandela alinyea debe kwa 27yrs, na akageuka shujaa kuliko yule dhalimu aliyeko motoni.
Jitokeza siyo kuunga mkono tu. Wakati ule Mbowe ananyea debe ulimsaidia nini au ulikuwa uko nyuma ya keyboard kama kawaida yako??!!
MmmhTujitokeze mara 2? Mbowe tulimchangia fedha lukuki baada ya hukumu.
Mandela hakuitwa muhuni tu na wale wakandamizaji, bali aliitwa gaidi kabisa.ni makosa la jinai kuwafananisha hawa wahuni na mandela.
Chadema na watanzania bado waoga Sana kudai haki,ushaur kaeni kimya tu kuliko kujiaibisha hv Jana wamepiga mkwara ohooo kongamano lipo lkn ukumbini hakutokea hata mmoja,wengine wamekamatwa kama kuku kilichofuata ni kupiga kelele mtandaoni,cdm mna kelele sn mtandaoni lkn field ni utopolo kabisa,tulien siku mkiona mna uwezo wa kupambana na police ndo mdaiNdugu Freeman!
Mara nyingi umesikika ukitaka sana siasa za uungwana, siasa za akupigaye shavu la kushoto basi mgeuzie la kulia. Hilo ni jambo zuri lakini hiyo falsafa yako inafanya kazi katika nchi za watawala ambao ni sober minded, siyo katika nchi ambayo watawala wameamua liwalo na liwe kwenye kusimika mifumo ya dhulma, uonevu ukandamizaji na kufanya lolote ilimradi waendelee kubaki madarakani hata kama si kwa ridhaa za wananchi.
Ndugu Mbowe
Tone yako ya kupenda maridhiano watawala wanaitafsiri kama uoga.
Huu uonevu mnaofanyiwa na watawala wa kunyimwa haki zenu za kufanya siasa kinyume cha katiba mtaendelea kufanyiwa mpaka siku mtakapoamua kusema sasa inatosha!
Ndugu Mbowe, Huu ni muda sasa wa kuvunja confidence hii ya watawala ambayo kimsingi wameshajiaminisha kuwa hamna uwezo, wala guts za kufanya chochote. Hii chain mkiifanikiwa kuivunja mtakuwa katika position nzuri za kuadvance haki zenu za kisiasa nchini.
Huu ni muda muafaka wa kuraise stake katika utawala wa nchi hii ili waone kuwa kutawala kinyume cha sheria na katiba ni kitu chenye gharama, kwa hiyo lazima ufanye yafuatayo:
1. Ni muda muafaka sasa wewe kuhimiza Wafuasi wako wasitii maagizo batili
Toa maagizo yako kwenye machinery nzima ya chama chako, Viongozi na wanachama wa chama chako wasitii maagizo haramu ya watawala katika maeneo yao. Kwa mfano kama Wamezuia mikutano, wewe waagize wafanye mikutano. Wewe usijali wala kuhofu maagizo yako yatafanyiwa kazi kwa kiwango gani, lakini wewe toa agizo la kichama, vikao na mikutano ifanyike. Katika hili kuna watakaofanikiwa kufanya hiyo mikutano kuna watakaoshindwa kwa sababu mbalimbali, lakini ni lazima tuvunje hii chain ya utii haramu wa maagizo haramu yaliyo kinyume cha sheria
2. Ni lazima CHADEMA iendelee kuwin huruma ya wananchi
Haya matendo mnayofanyiwa ya uonevu na ukandamizaji, wananchi wanayaona. Sasa ni muda muafaka wa kuyadocument vizuri, kuyaamplify ili wananchi wengi wayaone. Uonevu ambao watawala wanawafanyia kama mtaweza kuwashitakia, uungwaji mkono utakuwa ni mkubwa, na utaendekea kukua siku baada ya siku
3. Ndugu Mbowe ni muda wa Uongozi wa CHADEMA kusacrifice zaidi
Ndugu Mbowe, kama nilivyokueleza huko juu, kuna ulazima wa kuvunja chain hii ya uonevu, hili halitifanyika bila uongozi wa CHADEMA kujitoa mhanga(kusacrifice), Ni lazima uongozi wa CHADEMA uitishe mikutano ya wazi ambayo ni ya haki kisheria, ikizuiwa kinyume cha sheria Viongozi wa CHADEMA wasitii, Kubalini kusacrifice hata Jela lakini haki yenu kama Chama muipate. Na hii mikutano isiwe one day event, itisheni hii mikutano mara kwa mara mpaka watawala waone kuwa gharama za kupambana na CHADEMA ni kubwa kuliko kutenda haki.
Ndugu Mbowe, Hii chain ya nyie kuonewa hamtaivunja mpaka msacrifice, muwe tayari kwenda jela kwa ajili ya course hiyo
4. Ni lazima CHADEMA itumie fursa za serikali ya CCM kuboronga kwenye uchumi ili kuvuna sapoti ya wananchi
Ndugu Mbowe, Kimsingi, CCM wanajua measures zao za kiuchumi ni unpopular kwa wananchi, pia wanajua legitimacy yao ya kisiasa kwa wananchi ni ndogo sana, kwa hiyo wanachokifanya ni kujaribu kwa nguvu zote kuweka ukuta baina yenu na wananchi ili msiwape hao watawala kibano cha kisiasa. Ni lazima message yenu sasa muiegemeze katika ugumu wa maisha ambayo wananchi wanapitia na kwenye fact kuwa tumefika hapa kwa sababu ya utawaka mbovu wa CCM na wananchi hawana wawakilishi waliotokana na ridhaa zao. Tumieni kila opportunity, tengenezeni talking points za matatizo ya kiuchumi muzisambaze hadi huko chini kwa viongozi wenu wa ngazi za chini ili waweze kuwaeleza wananchi kwa ufasaha kabisa madhila ya utawala wa CCM kwenye maisha yao, na namna CCM inavyopekekea wao kuwa na maisha Magumu
5. Ni muda muafaka wa kumuomba kila mwanachadema afanye kazi ya kusambaza ujumbe wa Chama
Ndugu Mbowe, CCM wanadhani wanaweza kudhibiti moto wa CHADEMA kwa kuthibiti uongozi ambao uko structured, kwamba wakidhibiti let say viongozi wa matawi, mashina, kanda na viongozi Taifa basi wataweza kukithibiti Chama. Sasa ni muda muafaka wa Chadema kutoa muongozo kwa kila mwanachama na shabiki na Chadema kufanya kazi za chama za kusambaza jumbe na sera za chama. Agiza kila mtu, afikishe ujumbe na sera za chama kwa marafiki, kwa majirani n. k. Yaani kwenye suala la kusambaza jumbe za CHAMA isiwe muda wote centralized bali nyakati kama hizi ngumu mnazozuiwa kuorganise iwe ni decentralized. Hii itawezesha ujumbe kufika pale ambapo watawala hawataki mfike!
6. Ni lazima kuionyesha sura halisu ya Rais Samia, ajulikane kabisa kuwa naye anaenjoy "urahisi wa Udikteta" na anachukia "ugumu wa demokrasia"
Demokrasia siyo kazi nyepesi, inahitaji kutumia akili zaidi, kujizuia zaidi, kuwa na subira zaidi, maridhiano zaidi. Sasa hayo ni mambo magumu kuliko udikteta ambao madikteta hawataki kuumiza kichwa sana kwenye utawala, wao wanataka kutumia miguvuguvu tu
Sasa Samia inaonekana kabisa anataka kufuata njia za Mtangulizi wake, hataki tabu, anataka kutawala kwa mteremko. Lakini wakati huohuo anataka kuudanganya ulimwengu kuwa yeye ni mwanademokrasia, Hataki kuitwa "DICTATOR". Sasa CHADEMA isikubali kumpa hii blank cheque, kama anafanya Udikteta aitwe dikteta, asakamwe kwa udikteta wake.
Na hapa naungana na John Heche, Acheni kumuita Samia MAMA. hii inampa soft power, na moral authority ambayo connotation ya mama inabeba. Kiufupi kama anavunja katiba ya nchi basi haistahili kuendelea kutumia hilo jina mama, muiteni kwa jina lake halisi, kama ni dikteta basi aitwe Dikteta.
7. Madai ya Katiba mpya ni turufu inayopaswa kutumika kwa nguvu zote
Ndugu Freeman, katika vitu ambavyo wananchi wengi wanakubali, bila kujali mirengo yao ya kisiasa ni katiba mpya. Hii ni turufu kubwa ambayo hata CCM wanashindwa waihandle vipi. Sasa ni muhimu sana nyie kuiframe agenda hii kuwa ni kwa ajili ya masilahi ya wananchi zaidi, katika kufanya hivyo nashauri nyie kama chama mkae muandae points za namna gani Katiba mpya inagusa maisha ya watu moja kwa moja. Hizi talk points zisambazwe kwa makada wenu wote nchi nzima. Lengo hapa ni kuondoa ile spin kuwa nyie mnapigania katiba mpya kwa ajili ya madaraka tu.
Elezeni faida za bunge na mahakama huru, elezeni katiba mpya inapambanaje na ufisadi, elezeni katiba mpya ina uhusiano gani na maji yao, elimu ya, afya yao. Namna hii mtaweza kuwashawishi wananchi wawe active zaidi na zaidi katika kuidai na kuilszimisha serikali ya CCM ilete hiyo katiba mpya. Msiishie tu kuzungumzia ishu ya tume huru ya uchaguzi na madaraka ya rais jinsi yasivyo fair bali onyesheni jinsi vitu hivyo vinavyopelekea maisha ya watu kuwa magumu zaidi.
Mwisho kabisa ndugu Mbowe napenda kukwambia kuwa sasa ni muda muafaka wa kuraise joto la kisiasa nchini, lipndisheni kwa kugomea amri haramu. Fanyeni mikutano hata kama imezuiwa kinyume cha sheria. Hawa hawana mabomu, waka askari wa kutosha wa kuweza kupambana na HAKI
Chairman, mmeonewa kiasi cha kutosha, mmenyanyaswa kiasi cha kutoshao sasa fanya jambo, tumechoka!
labda tuwafananishe na "bokoharam" sio Mandela.Mandela hakuitwa muhuni tu na wale wakandamizaji, bali aliitwa gaidi kabisa.
mimi ni muumini wa siasa za kistaarabu zenye kuzingatia maslahi ya nchi yangu kwanza.Hivyo unaona mazuri yanatofanywa na maharami pekee.
Kwahiyo hicho cha maharamia ndio chama Chako na ndio kinachoona na kuzingatia maslahi ya taifa.?mimi ni muumini wa siasa za kistaarabu zenye kuzingatia maslahi ya nchi yangu kwanza.
Tanzania ni Muhimu zaidi kuliko chama chochote kile.
siko tayari kunyamaza ninapoona chokochoko za kuhatarisha amani yetu maana likiharibika hakuna atakaye salimika.
mimi ni muumini wa siasa za kistaarabu zenye kuzingatia maslahi ya nchi yangu kwanza.
Tanzania ni Muhimu zaidi kuliko chama chochote kile.
siko tayari kunyamaza ninapoona chokochoko za kuhatarisha amani yetu maana likiharibika hakuna atakaye salimika.
Ndugu Freeman!
Mara nyingi umesikika ukitaka sana siasa za uungwana, siasa za akupigaye shavu la kushoto basi mgeuzie la kulia. Hilo ni jambo zuri lakini hiyo falsafa yako inafanya kazi katika nchi za watawala ambao ni sober minded, siyo katika nchi ambayo watawala wameamua liwalo na liwe kwenye kusimika mifumo ya dhulma, uonevu ukandamizaji na kufanya lolote ilimradi waendelee kubaki madarakani hata kama si kwa ridhaa za wananchi.
Ndugu Mbowe
Tone yako ya kupenda maridhiano watawala wanaitafsiri kama uoga.
Huu uonevu mnaofanyiwa na watawala wa kunyimwa haki zenu za kufanya siasa kinyume cha katiba mtaendelea kufanyiwa mpaka siku mtakapoamua kusema sasa inatosha!
Ndugu Mbowe, Huu ni muda sasa wa kuvunja confidence hii ya watawala ambayo kimsingi wameshajiaminisha kuwa hamna uwezo, wala guts za kufanya chochote. Hii chain mkiifanikiwa kuivunja mtakuwa katika position nzuri za kuadvance haki zenu za kisiasa nchini.
Huu ni muda muafaka wa kuraise stake katika utawala wa nchi hii ili waone kuwa kutawala kinyume cha sheria na katiba ni kitu chenye gharama, kwa hiyo lazima ufanye yafuatayo:
1. Ni muda muafaka sasa wewe kuhimiza Wafuasi wako wasitii maagizo batili
Toa maagizo yako kwenye machinery nzima ya chama chako, Viongozi na wanachama wa chama chako wasitii maagizo haramu ya watawala katika maeneo yao. Kwa mfano kama Wamezuia mikutano, wewe waagize wafanye mikutano. Wewe usijali wala kuhofu maagizo yako yatafanyiwa kazi kwa kiwango gani, lakini wewe toa agizo la kichama, vikao na mikutano ifanyike. Katika hili kuna watakaofanikiwa kufanya hiyo mikutano kuna watakaoshindwa kwa sababu mbalimbali, lakini ni lazima tuvunje hii chain ya utii haramu wa maagizo haramu yaliyo kinyume cha sheria
2. Ni lazima CHADEMA iendelee kuwin huruma ya wananchi
Haya matendo mnayofanyiwa ya uonevu na ukandamizaji, wananchi wanayaona. Sasa ni muda muafaka wa kuyadocument vizuri, kuyaamplify ili wananchi wengi wayaone. Uonevu ambao watawala wanawafanyia kama mtaweza kuwashitakia, uungwaji mkono utakuwa ni mkubwa, na utaendekea kukua siku baada ya siku
3. Ndugu Mbowe ni muda wa Uongozi wa CHADEMA kusacrifice zaidi
Ndugu Mbowe, kama nilivyokueleza huko juu, kuna ulazima wa kuvunja chain hii ya uonevu, hili halitifanyika bila uongozi wa CHADEMA kujitoa mhanga(kusacrifice), Ni lazima uongozi wa CHADEMA uitishe mikutano ya wazi ambayo ni ya haki kisheria, ikizuiwa kinyume cha sheria Viongozi wa CHADEMA wasitii, Kubalini kusacrifice hata Jela lakini haki yenu kama Chama muipate. Na hii mikutano isiwe one day event, itisheni hii mikutano mara kwa mara mpaka watawala waone kuwa gharama za kupambana na CHADEMA ni kubwa kuliko kutenda haki.
Ndugu Mbowe, Hii chain ya nyie kuonewa hamtaivunja mpaka msacrifice, muwe tayari kwenda jela kwa ajili ya course hiyo
4. Ni lazima CHADEMA itumie fursa za serikali ya CCM kuboronga kwenye uchumi ili kuvuna sapoti ya wananchi
Ndugu Mbowe, Kimsingi, CCM wanajua measures zao za kiuchumi ni unpopular kwa wananchi, pia wanajua legitimacy yao ya kisiasa kwa wananchi ni ndogo sana, kwa hiyo wanachokifanya ni kujaribu kwa nguvu zote kuweka ukuta baina yenu na wananchi ili msiwape hao watawala kibano cha kisiasa. Ni lazima message yenu sasa muiegemeze katika ugumu wa maisha ambayo wananchi wanapitia na kwenye fact kuwa tumefika hapa kwa sababu ya utawaka mbovu wa CCM na wananchi hawana wawakilishi waliotokana na ridhaa zao. Tumieni kila opportunity, tengenezeni talking points za matatizo ya kiuchumi muzisambaze hadi huko chini kwa viongozi wenu wa ngazi za chini ili waweze kuwaeleza wananchi kwa ufasaha kabisa madhila ya utawala wa CCM kwenye maisha yao, na namna CCM inavyopekekea wao kuwa na maisha Magumu
5. Ni muda muafaka wa kumuomba kila mwanachadema afanye kazi ya kusambaza ujumbe wa Chama
Ndugu Mbowe, CCM wanadhani wanaweza kudhibiti moto wa CHADEMA kwa kuthibiti uongozi ambao uko structured, kwamba wakidhibiti let say viongozi wa matawi, mashina, kanda na viongozi Taifa basi wataweza kukithibiti Chama. Sasa ni muda muafaka wa Chadema kutoa muongozo kwa kila mwanachama na shabiki na Chadema kufanya kazi za chama za kusambaza jumbe na sera za chama. Agiza kila mtu, afikishe ujumbe na sera za chama kwa marafiki, kwa majirani n. k. Yaani kwenye suala la kusambaza jumbe za CHAMA isiwe muda wote centralized bali nyakati kama hizi ngumu mnazozuiwa kuorganise iwe ni decentralized. Hii itawezesha ujumbe kufika pale ambapo watawala hawataki mfike!
6. Ni lazima kuionyesha sura halisu ya Rais Samia, ajulikane kabisa kuwa naye anaenjoy "urahisi wa Udikteta" na anachukia "ugumu wa demokrasia"
Demokrasia siyo kazi nyepesi, inahitaji kutumia akili zaidi, kujizuia zaidi, kuwa na subira zaidi, maridhiano zaidi. Sasa hayo ni mambo magumu kuliko udikteta ambao madikteta hawataki kuumiza kichwa sana kwenye utawala, wao wanataka kutumia miguvuguvu tu
Sasa Samia inaonekana kabisa anataka kufuata njia za Mtangulizi wake, hataki tabu, anataka kutawala kwa mteremko. Lakini wakati huohuo anataka kuudanganya ulimwengu kuwa yeye ni mwanademokrasia, Hataki kuitwa "DICTATOR". Sasa CHADEMA isikubali kumpa hii blank cheque, kama anafanya Udikteta aitwe dikteta, asakamwe kwa udikteta wake.
Na hapa naungana na John Heche, Acheni kumuita Samia MAMA. hii inampa soft power, na moral authority ambayo connotation ya mama inabeba. Kiufupi kama anavunja katiba ya nchi basi haistahili kuendelea kutumia hilo jina mama, muiteni kwa jina lake halisi, kama ni dikteta basi aitwe Dikteta.
7. Madai ya Katiba mpya ni turufu inayopaswa kutumika kwa nguvu zote
Ndugu Freeman, katika vitu ambavyo wananchi wengi wanakubali, bila kujali mirengo yao ya kisiasa ni katiba mpya. Hii ni turufu kubwa ambayo hata CCM wanashindwa waihandle vipi. Sasa ni muhimu sana nyie kuiframe agenda hii kuwa ni kwa ajili ya masilahi ya wananchi zaidi, katika kufanya hivyo nashauri nyie kama chama mkae muandae points za namna gani Katiba mpya inagusa maisha ya watu moja kwa moja. Hizi talk points zisambazwe kwa makada wenu wote nchi nzima. Lengo hapa ni kuondoa ile spin kuwa nyie mnapigania katiba mpya kwa ajili ya madaraka tu.
Elezeni faida za bunge na mahakama huru, elezeni katiba mpya inapambanaje na ufisadi, elezeni katiba mpya ina uhusiano gani na maji yao, elimu ya, afya yao. Namna hii mtaweza kuwashawishi wananchi wawe active zaidi na zaidi katika kuidai na kuilszimisha serikali ya CCM ilete hiyo katiba mpya. Msiishie tu kuzungumzia ishu ya tume huru ya uchaguzi na madaraka ya rais jinsi yasivyo fair bali onyesheni jinsi vitu hivyo vinavyopelekea maisha ya watu kuwa magumu zaidi.
Mwisho kabisa ndugu Mbowe napenda kukwambia kuwa sasa ni muda muafaka wa kuraise joto la kisiasa nchini, lipndisheni kwa kugomea amri haramu. Fanyeni mikutano hata kama imezuiwa kinyume cha sheria. Hawa hawana mabomu, waka askari wa kutosha wa kuweza kupambana na HAKI
Chairman, mmeonewa kiasi cha kutosha, mmenyanyaswa kiasi cha kutoshao sasa fanya jambo, tumechoka!
Karata za CCM ziko hapa:
1. CDM hawako tayari kupambana hadi kutumia nguvu.
2. Sana sana CDM watasusia chaguzi.
Zote mbili hazina madhara kwa CCM kwani zitawaacha wakiwa madarakani.
Ni muda sasa mahusiano haya kubadilika. Hiyo ndiyo lugha sahihi kwao watakayo ielewa.
Katiba Mpya: Ukweli Usiosemeka
Mazingira yanaoizunguka katiba mpya ni muhimu yakajulikana yote wazi wazi. Inafahamika kuwa CCM walio wanufaika wa katiba iliyopo, hawana sababu yoyote ya kujitia kitanzini kwa kuridhia ujio wa katiba mpya kirahisi. Kutokupatikana kwa katiba mpya kutaifanya CCM kuwa imefanikiwa katika...www.jamiiforums.com
weka ushabiki pembeni, waulize kina Lwaitama, kina msigwa na viongozi wengine walio kuwa wanahamasisha wananchi wahudhurie kikao cha ndani, hivi kweli kilikiwa kikao cha ndani au mkutano wa hadhara?!Ww sio muumini wa siasa za kistaarabu, bali ni bendera fuata upepo kwa matamko ya viongozi. Watu wanafanya mkutano wa ndani kusema matakwa yao halali, je ni ustaarabu au chokochoko gani wameleta?
Umeongea ukweli.
Kujivutavuta kwa CHADEMA katika kudai haki yao ndo kunawachelewesha kupata haki yao wanayostahiki.
CHADEMA lazima itafute namna ya kupandisha joto la kisiasa nchini.
CHADEMA lazima iwape CCM tough time. Initially CCM itajaribu kutumia majeshi kuzima joto hilo lakini CHADEMA ikikomaa, majeshi yatawaambia CCM kuwa haya ni masuala ya kisiasa yamalizeni nyie wenyewe kwa wenyewe kisiasa.
Ila hatua hii ya Majeshi kuwambia CCM wafanye siasa badala ya kuwategemea wao itakuja tu kama CHADEMA wataonyesha resolve ya kutorudi nyuma kwenye kudai haki zao za kikatiba!

weka ushabiki pembeni, waulize kina Lwaitama, kina msigwa na viongozi wengine walio kuwa wanahamasisha wananchi wahudhurie kikao cha ndani, hivi kweli kilikiwa kikao cha ndani au mkutano wa hadhara?!
unajua chadema mara nyingi wanawachukulia Askari wetu kama watu fulani hivi wasio jielewa! yaani huwa wanawadharau sana askari na kujiona wao wana akili zaidi.
sasa ngoja wakabiliane na mkono wa sheria. maaana nchi hii inafuata utawala wa sheria, ukivunja sheria lazima ushughulikiwe.
Nasema hivi huna jipya, huo ni mkutano wa ndani, una shida gani? Kuna kosa lolote mkutano wa ndani kuhamasisha watu wahudhurie? Acha kulazimisha tafsiri zako zisizo na msingi wowote. Ingekuwa wamekutana kwa siri hapo ndio kungekuwa na shaka, lakini wametangaza kweupe maana hawana ajenda yoyote ya siri. Ww ndio uweke pembeni mahaba ya siasa za hila.
Sasa hivi tuko hapa:Nasema hivi huna jipya, huo ni mkutano wa ndani, una shida gani? Kuna kosa lolote mkutano wa ndani kuhamasisha watu wahudhurie? Acha kulazimisha tafsiri zako zisizo na msingi wowote. Ingekuwa wamekutana kwa siri hapo ndio kungekuwa na shaka, lakini wametangaza kweupe maana hawana ajenda yoyote ya siri. Ww ndio uweke pembeni mahaba ya siasa za hila.