Barua ya wazi kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe: CHADEMA Isikubali kuonewa

Experience yangu siku hizi ni kuwa vijijini kuna watu wako serious mno na siasa kuliko mjini!
Tena Mjini watu na mishemishe zao zaidi
Vijijini watu wanavunja hata ujirani mwema sababu ya siasa
 
Experience yangu siku hizi ni kuwa vijijini kuna watu wako serious mno na siasa kuliko mjini!
Tena Mjini watu na mishemishe zao zaidi
Vijijini watu wanavunja hata ujirani mwema sababu ya siasa
Labda Unguja na Pemba.

Huku bara mabonanza ya kitamaduni yana nguvu kuliko siasa.
 
Nakumbuka walivomshambulia kwA kumpa majina "Dr Mihogo na Padri Mzinifu" Slaa,,tena wakatengeneza press conference watoto wake waje kumnanga😀😀 ,mzee wa watu na yy mwishoni akajifanyia wepesi wa teuzi
 
Nakumbuka walivomshambulia kwA kumpa majina "Dr Mihogo na Padri Mzinifu" Slaa,,tena wakatengeneza press conference watoto wake waje kumnanga😀😀 ,mzee wa watu na yy mwishoni akajifanyia wepesi wa teuzi
Halafu yule mama wakamzawadia VITI MAALUM.
 
Sikia nikwambie hutobaki mzima ,Kama sio kesho ila bado utakufa , Sasa nikwambie sio mda nitaandamana mwenyewe mpaka chamwino ikulu , liwalo na liwe why kuogopa kivuli mlicho kutengeneza wenyewe

Uoga wako peleka KWA mkeo , usituletee sie, au mimi
Walishindwa vijana wa Jkt huweze wewe ukiwa kwenye keyboard [emoji848]
 
Waulize wamakonde na maandamano yao ya gesi yalifikia wap?
 
Choko choko wanaanzisha polisi kwa kuzuia watu kufanya mikutano ambayo ni halali kisheria
 
We nae hta hujielewi! Kwa hyo chadema kufanya mkutano wanevunja sheria gani?
 
Waulize wamakonde na maandamano yao ya gesi yalifikia wap?
Hizo ni changamoto tu za kudai haki
Hata huko ambapo leo wana haki ya kuandamana wana majeshi tena yenye nguvu sana lakini persistence inapelekea hata majeshi yaone ni ujinga kupiga watu wa nchi yao wenyewe
 
Aaah, kumbe upo hivi, ni heri umejitambulisha kuliko ambavyo siku zote unajificha karibu na ukuta ili usijulikane unasimamia wapi hasa.

Mbowe hana jeshi la kumbakisha madarakani kwa nguvu. Wanachama wa chama kile wakitaka aondoke hana uwezo wa kuwaweka mahabusu, na tumeona wengi wakiamua kwenda kujaza matumbo yao yenye njaa huko huko CCM.

Kwa hiyo wewe kumlaumu Mbowe kuendelea kuilinda CHADEMA ambayo ilitakiwa iwe mmeiua siku nyingi, inaeleweka sana. Nilikuwa sijui kwamba upo huko hata kidogo.

Sasa nikuombe jambo.

Kwa nini usianzishe kampeni ya kumwondoa Mbowe kwenye uenyekiti wa chama kwa vile amekuwa king'ang'anizi? Sisi tutaendelea huku kuishikilia CCM iache tabia ya kuharibu chaguzi, na kukiuka katiba ya nchi katika mambo mengi.

Unamwogopa Mbowe atatumia mabunduki na mabomu ya machozi kwako?
 
We mpumbavu unaishi nchi gani. Tanzania na watanzania hatuli Siasa wala huyo MBOWE hawezi kuleta kula mezani. So Koma kabisa kujifanya boko haramu nchini mwetu.
 
We mpumbavu unaishi nchi gani. Tanzania na watanzania hatuli Siasa wala huyo MBOWE hawezi kuleta kula mezani. So Koma kabisa kujifanya boko haramu nchini mwetu.
Sasa ulidhani Mbowe angekuletea ugali?.

Au CCM inakupa ugali?

Kama hujui umuhimu wa HAKI katika nchi huwezi kuelewa mambo ya msingi ambayo watu wrnye hekima zao wanajadili humu
 
Sina muda huo wala sina sababu ya kufanya hivyo.

Kwanza sioni kama Mbowe anafanya tofauti na wenzake wa NLD, NCCR, CUF, TADEA, TLP.

Vyama vya siasa ni fursa na vimetajirisha wengi tu.
 
Akili yako mbovu au umetoka chato nini?
 
Mimi kwa jinsi ninavyoona hali ya mwenendo wa Kisiasa style ya kuongoza ya Rais Samia anatumia Uongozi shirikishi, CCM inashirikishwa. Nawashauri upinzani uanze majadiliano na uongozi wa CCM ndo baadaye waanze Mazungumzi na Serikali.
 
Sina muda huo wala sina sababu ya kufanya hivyo.

Kwanza sioni kama Mbowe anafanya tofauti na wenzake wa NLD, NCCR, CUF, TADEA, TLP.

Vyama vya siasa ni fursa na vimetajirisha wengi tu.
Unaweza kuwa sahihi kuhusu Mbowe, lakini sijasikia hao wengine wa vyama ulivyotaja wakikoswakoswa na risasi za polisi wala kupelekwa Segerea.

Hii inaonyesha ufikri wako una kasoro, hata kama unajihisi uko huru kama ulivyoeleza mwanzo.

Naona huna tofauti na hawa wanasiasa unaowalalamikia, kwa sababu mambo yao ni sawa na haya yako, ya kukana kwamba hawapo kama unavyowaelezea wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…