D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Dec 15, 2021 #61 usiwasukumizie wengine matatizo yanayosababishwa na serekali ya CCM. Bakharesa analipa kodi kubwa sana nchini, hiyo pesa ndio ilitakiwa ijengewe mahospitali na vyuo bali CCM wameamua kujinunulia ma v8 sasa kosa lake ni nini?
usiwasukumizie wengine matatizo yanayosababishwa na serekali ya CCM. Bakharesa analipa kodi kubwa sana nchini, hiyo pesa ndio ilitakiwa ijengewe mahospitali na vyuo bali CCM wameamua kujinunulia ma v8 sasa kosa lake ni nini?