Barua ya wazi kwa ndugu, jamaa na watanzania kwa ujumla baada ya kupata vitisho vya kuniteka, kuniuwa na kunipoteza

Pole sana ndugu..watesi wako,walaaniwe....Mungu akufanye uwe imara.Na lolote baya,lishindwe kupata😭🤔
 
Shushushu ampe taarifa domokeka ambae hana cheo, na wala hakuwahi kuwa hata na cheo chochote huko chamani kwake!!

Ama kweli upumbavu ni ugonjwa unaoandama vijana wengi Tanzania. Acha aendelee kuwadanganya wapumbavu wake tu huku mitandaoni.
Chief huko south mambo ya kutekana na kuuana kisa kuikosoa serikali huko yapo?
 
Brain 🧠 your eyes "Ben saa8 aliandika thread humu na mpaka kuweka namba ya simu iliyokua Ina mtumia meseji za kutishiwa kuuwawa"

Leo Ben saa8 yupo wap ?serikali mpaka leo hii ipo kimya?! Na Haijasema chochote.

Huo ni mfano mmoja na ipo mifano mingi TU ya ambao wamewai kiambiwa waache wanacho kufanya na mamlaka.

SEMA KINGINE.
 
Stick to your choices and beliefs....All the best !!!
 
Mtekaji anapojaribu kujinasua ulimteka mlinzi wa dokta slaa!
Mimi ni CCM na sijawahi kuwa CDM hata kuwaza kuhamia huko.

Kama mimi ni mtekaji basi seems CCM ina watekaji wengi sana kiasi wengine mnatuongiza kwenye kapu la samaki aliyeoza ilhali sie ni watanashati
 
Mimi ni CCM na sijawahi kuwa CDM hata kuwaza kuhamia huko.

Kama mimi ni mtekaji basi seems CCM ina watekaji wengi sana kiasi wengine mnatuongiza kwenye kapu la samaki aliyeoza ilhali sie ni watanashati
Zambi zimekuelemea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…