Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Mtekaji ushajitokeza umeshindwa kuwa undercoverMjomba jikite kweye kazi zako kutwa kujiongelesha hakuna mwenye kazi na wewe wamekupuuza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtekaji ushajitokeza umeshindwa kuwa undercoverMjomba jikite kweye kazi zako kutwa kujiongelesha hakuna mwenye kazi na wewe wamekupuuza!
Pole sana ndugu..watesi wako,walaaniwe....Mungu akufanye uwe imara.Na lolote baya,lishindwe kupata😭🤔Umefanya vyema kujihami na kutoa taarifa.....
By the way, shida hasa ya Rais Samia na chawa wake ni nini maana mimi huwa nakusikiliza sana unapofanya ukosoaji wa serikali....
Honestly, huwa sioni shida yoyote katika matamshi yako hata waanze kutafuta roho yako....
Tatizo la viongozi wa serikali ya Magufuli na hii ya Samia na CCM kwa ujumla ukiwakosoa kwa kutaja mapungufu yao, tafsiri yao moja kwa moja eti ni kumtukana Rais Samia, kumdhalilisha na kuidhalilisha serikali ambayo infact huwa tayari ilishajidhalilisha na kujitukana yenyewe pamoja na Rais wake...!
Sikiliza bwana mdude Nyagali, tumia medani ya kivita kuwakwepa. Usikae kama kuku aliyenyeshewa mvua. Watakukamata na kukuua kweli. Huyu mama ameamua anywe damu za watu ili abaki madarakani tena ktk nchi isiyo yake ya Tanganyika. Kwao ni Zanzibar....
Tafuta namna ya kuwakwepa. Kuwa mwangalifu. Si mbaya kama unaweza kuvuka mpaka na kwenda nchi jirani kuokoa uhai wako...
Kumbuka kuwa ku - retreat sio ku - surrender....
Huyo huyo informer wa Jengo jeupe kutoka kule jikoni kwa mpishiNani wa kumpa taarifa huyo?
Hiyo ndo kazi yake, tayari kajikita.Mjomba jikite kweye kazi zako kutwa kujiongelesha hakuna mwenye kazi na wewe wamekupuuza!
Mjomba jikite kweye kazi zako kutwa kujiongelesha hakuna mwenye kazi na wewe wamekupuuza!
Chief huko south mambo ya kutekana na kuuana kisa kuikosoa serikali huko yapo?Shushushu ampe taarifa domokeka ambae hana cheo, na wala hakuwahi kuwa hata na cheo chochote huko chamani kwake!!
Ama kweli upumbavu ni ugonjwa unaoandama vijana wengi Tanzania. Acha aendelee kuwadanganya wapumbavu wake tu huku mitandaoni.
Kazi yake fundi magari!Hii ndio kazi yake, amesema yeye ni Mwanaharakati. Na hizi ndio harakati zake.
Mtekaji alipomgundua mtekaji mwenzake!Mtekaji ushajitokeza umeshindwa kuwa undercover
Umemchoka?Hajui kwamba itafika mahala watu wanakuchoka? Hajiulizi Kwa nini yeye tuu?
Sinaga mda wa kufuatilia upuuzi wakeUmemchoka?
Brain 🧠 your eyes "Ben saa8 aliandika thread humu na mpaka kuweka namba ya simu iliyokua Ina mtumia meseji za kutishiwa kuuwawa"Sehemu salama ya mtu kama huyu ni kukamatwa na kuwekwa ndani mpaka huyo msamalia mwema aliyemtonya amtaje na adhibutishe tuhuma hizi. Mnachafua nchi aisee. Hivi nchi ikichafuka watoto wenu, wajomba, nk wataishi wapi? Hamuoni yanayotokea gaza, ukraine, lebaboni?? Common
Hapa unafanya nini?Sinaga mda wa kufuatilia upuuzi wake
Nateka majiMtekaji alipomgundua mtekaji mwenzake!
Mtekaji anapojaribu kujinasua ulimteka mlinzi wa dokta slaa!Nateka maji
Unateka watu
TZ inamwaga damu😭😭😭😭Samia kafungua Turbocharger hataki masihara kwenye ugali wake mezani ukijipendekeza mbele utakufa au hautajulikana kama ulikufa au ulipotea.
Khatari kubwa sana.
Mimi ni CCM na sijawahi kuwa CDM hata kuwaza kuhamia huko.Mtekaji anapojaribu kujinasua ulimteka mlinzi wa dokta slaa!
Zambi zimekuelemea!Mimi ni CCM na sijawahi kuwa CDM hata kuwaza kuhamia huko.
Kama mimi ni mtekaji basi seems CCM ina watekaji wengi sana kiasi wengine mnatuongiza kwenye kapu la samaki aliyeoza ilhali sie ni watanashati
Vyovyote iwavyo, serikali kuteka, kutesa na kuua raia wake ni wazi imeshaanguka kutokea ndani.Zambi zimekuelemea!