Barua ya wazi kwa ndugu, jamaa na watanzania kwa ujumla baada ya kupata vitisho vya kuniteka, kuniuwa na kunipoteza

Mkuu,
Umeanza kutoka kwenye main point unaleta ukanda.

Mbona mwenyekiti wa bavicha taifa ni mtu Alie kulia lake zone.

Mimi binafsi siamini Sana kwenye ukanda/ukabila japo haiondoi maana kua haupo

Mbona molell, kafulila (tumbili) wamepewa mapande na wanaendelea vyema na nafasi zao why huyu mdude chadema akipewa nafasi au ajira aweze kutumikia wananchi Kama ambavyo amekua akijipambanua.
Atumikie kwanza chama chake anachokiamini alaf ikionekana kuwa anafanya vyema katika chama, basi itakuwa rahisi huko juu kuona uwezo wake na kumteua asimamie nafasi fulani.

Ila kama hata chama chake hakioni uwezo wake na kumpa nafasi, basi sio rahisi huko ukubwani akaipata hiyo nafasi. Huwenda anaweza kufanya hujuma dhidi ya serikali na mamlaka iliyomteua.
 
Msigwa alitoa taarifa kuwa huyu mzee ni hatari sn haikupita hata wiki akauliwa
Naona umekimbilia kuni quote bila kusoma, au kuelewa nilichoandika. Rudia ukasome tena vizuri na kuelewa kilichoandikwa.

Hata mwizi anapotaka kukuibia huwa hakupi taarifa, itakuwa muuaji. Najua anatumia ujinga na upumbavu wa watu fulani kupata support mitandaoni. Lakini sometimes ajaribu kutumia njia ambayo kidogo inaweza kutushawishi hata sisi tusiokuwa wajinga kuamini kidogo alichoandika.

Muuaji professional atoe taarifa kwa anaemuwinda kumuua!! 🤣🤣🤣 Basi atakuwa hana lengo la kweli la kumuua. Sanasana watajitokeza watu wengine watumie chance hiyo kummaliza, kwa kujua kwamba jumba bovu litawaangukia wale waliotuhumiwa na muathirika mwenyewe mitandaoni. Open your eyes kijana.
 
Atumikie kwanza chama chake anachokiamini alaf ikionekana kuwa anafanya vyema katika chama, basi itakuwa rahisi huko juu kuona uwezo wake na kumteua asimamie nafasi fulani.

Ila kama hata chama chake hakioni uwezo wake na kumpa nafasi, basi sio rahisi huko ukubwani akaipata hiyo nafasi. Huwenda anaweza kufanya hujuma dhidi ya serikali na mamlaka iliyomteua.
Nimecheka mpaka 😊 ni kweli kwa tabia anazo onyesha anaweza akashindwa kutii kiapo maana jamaa akili yake anaijua mwenyewe ni mkosoaji Sana asie weza kun'gamua uzuri kwenye ubaya..

All in all,
Apewe nafasi maana anaonyesha ana KITU.

Kama mamlaka kweli zimemtishia kumpoteza naomba Mara moja wampuuze mdude chadema maana sioni Kama kumkatisha uhai Kuna faida zozote.

Pamoja mkuu.
 
Naona umeshaathirika kichwa na sasa unaanza kuweweseka na kuropoka ropoka Hovyo hovyo tu hapa.
Lucas umeanza kuleta siasa kwenye uhai wa mtu 😊.

Itoshe kusema mama anatosha mitano mingine.
#mama anatosha #Tupo ma mama #mama anaponya taifa.

Msalimie mwalimu wako gentamicin.
 
Acha wakuue tuone kama wao wataishi milele. Ila nikuhakikishishie Mungu ni Mungu wa haki damu yako lazima iwalilie na kuangamiza vizazi vyao wote bila kujali nafasi na mamlaka waliyonayo.
Lakini pia muwe mnaambiana Ukweli. Mdude anatukana sana watu bila sababu. Awe anaheshimu utu wa watu. Kamtukana sana yule MamaAbdul.

Hata akina mbowe hawawezi tukana au fanya kama anavyofanya mdude. Please, nakushauri jitahidi kuheshimu watu. Sidhani kama uanaharakati ndio huo unaouendesha.
 
Baada ya kupata taarifa kupitia msamaria mwema kwamba Rais @SuluhuSamia anawinda roho yangu kupitia vikosi kazi vya utekaji, nilifanya kikao na wakili wangu. Wakili ameshauri niandike barua na kuweka public. Nimeshaandika barua na nimewapa ndugu wote ni zamu yenu kusoma barua hii.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu

View attachment 3100501
Umefanya vyema kujihami na kutoa taarifa.....

By the way, shida hasa ya Rais Samia na chawa wake ni nini maana mimi huwa nakusikiliza sana unapofanya ukosoaji wa serikali....

Honestly, huwa sioni shida yoyote katika matamshi yako hata waanze kutafuta roho yako....

Tatizo la viongozi wa serikali ya Magufuli na hii ya Samia na CCM kwa ujumla ukiwakosoa kwa kutaja mapungufu yao, tafsiri yao moja kwa moja eti ni kumtukana Rais Samia, kumdhalilisha na kuidhalilisha serikali ambayo infact huwa tayari ilishajidhalilisha na kujitukana yenyewe pamoja na Rais wake...!

Sikiliza bwana mdude Nyagali, tumia medani ya kivita kuwakwepa. Usikae kama kuku aliyenyeshewa mvua. Watakukamata na kukuua kweli. Huyu mama ameamua anywe damu za watu ili abaki madarakani tena ktk nchi isiyo yake ya Tanganyika. Kwao ni Zanzibar....

Tafuta namna ya kuwakwepa. Kuwa mwangalifu. Si mbaya kama unaweza kuvuka mpaka na kwenda nchi jirani kuokoa uhai wako...

Kumbuka kuwa ku - retreat sio ku - surrender....
 
Nimecheka mpaka 😊 ni kweli kwa tabia anazo onyesha anaweza akashindwa kutii kiapo maana jamaa akili yake anaijua mwenyewe ni mkosoaji Sana asie weza kun'gamua uzuri kwenye ubaya..

All in all,
Apewe nafasi maana anaonyesha ana KITU.

Kama mamlaka kweli zimemtishia kumpoteza naomba Mara moja wampuuze mdude chadema maana sioni Kama kumkatisha uhai Kuna faida zozote.

Pamoja mkuu.
Mkuu, Mdude anashindwa kupambana na wale wanaomtumia kama daraja katika siasa bila kumpa nafasi yoyote ya maana chamani, badala yake hasira zake anakwenda kuzimalizia kwa serikali na viongozi wa juu.

Kuhusu swala la kutishiwa kupotezwa na kuuwawa huo ni uongo unaopaswa kupuuzwa na mtu yoyote mwenye akili timamu. Toka lini mtu anaetafuta kumuua adui yake akatoa taarifa.

Kama mwizi tu anaeiba huwa hatoi taarifa kwa anaepanga kumuibia, sasa muuaji wa kweli anatoaje taarifa kwa mtu anaepanga kumuua!!
 
Inafikirisha Ila mkuu Kuna watu wamewai kuandika ivyo ivyo mpaka kuweka namba za SIMU

Mfano bro Ben saa8 aliwai kusema ivyo ivyo na wapo walio beza na kudhihaki Ila mpaka leo Kama taifa hatujui Kama Ben saa8 ni mzima au alikufa.

Tahadhari ni za muhimu Sana ikiwezekana mdude chadema ajiweke LOCKDOWN mwenyewe ikiwezekana izo device zake zote atumie VPN mpaka pale Hali itakapo kua shwari na aache lomolomo.
 
Ya ni kweli. Unaweza kupata vitisho ukakaa kimya na baadae likaja kutokea, watu watasema kwanini hukusema mapema kama uliwahi kupata vitisho ili tuangalie njia za kukuepusha na vitisho hivyo.

Lakini vilevile sisi binadam tunaishi na maadui mbali mbali ambao wengine ni wa dhahiri na wengine ni wa siri. Na mara nyingi maadui wa siri wanaweza kuwa ndugu zetu, rafiki zetu, washkaji zetu tunaoshirikiana nao katika mambo ya biashara, maisha, siasa nk. Ndomaana ukatungwa msemo wa kikulacho kinguoni mwako, au umdhania sie kumbe ndie. Na umdhanie ndie kumbe sie.

Katika sakata kama hili wale maadui wa siri au wanasiasa fulan wanaweza kuitumia chance hii kummaliza jamaa kwa manufaa yao ya kisiasa kwa sababu wanajua kwamba jumba bovu la mauaji hayo litaiangukia serikali, polisi nk.
 
Ume Nena vyema Sana nakubaliana na wewe mkuu.

Umeeleza vyema sana
 
Hilo fungu ulilolichagua gumu sana ndugu yangu.
 
Baada ya kupata taarifa kupitia msamaria mwema kwamba Rais @SuluhuSamia anawinda roho yangu kupitia vikosi kazi vya utekaji, nilifanya kikao na wakili wangu. Wakili ameshauri niandike barua na kuweka public. Nimeshaandika barua na nimewapa ndugu wote ni zamu yenu kusoma barua hii.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu

View attachment 3100501
Una hamu ya kutekwa lakini hutatekwq kwasababu huna special attention yoyote na public. Wewe ni wa kawaida sanaaa. Fanya kazi bwana
 
Back
Top Bottom