Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Atumikie kwanza chama chake anachokiamini alaf ikionekana kuwa anafanya vyema katika chama, basi itakuwa rahisi huko juu kuona uwezo wake na kumteua asimamie nafasi fulani.Mkuu,
Umeanza kutoka kwenye main point unaleta ukanda.
Mbona mwenyekiti wa bavicha taifa ni mtu Alie kulia lake zone.
Mimi binafsi siamini Sana kwenye ukanda/ukabila japo haiondoi maana kua haupo
Mbona molell, kafulila (tumbili) wamepewa mapande na wanaendelea vyema na nafasi zao why huyu mdude chadema akipewa nafasi au ajira aweze kutumikia wananchi Kama ambavyo amekua akijipambanua.
Ila kama hata chama chake hakioni uwezo wake na kumpa nafasi, basi sio rahisi huko ukubwani akaipata hiyo nafasi. Huwenda anaweza kufanya hujuma dhidi ya serikali na mamlaka iliyomteua.