Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Najua humu Jf Kuna ma great thinkers wengi Sanaa watakusaidia kukuweka sawa
Nilifanya kautafiti kadogo na Mara zote nimegundua yafuatayo kuhusu mdude chadema.
*Mdude huwa ana tumia lugha ngumu (matusi) kukosoa watawala .
*Serikali Mara zote zimekua na ziliamua kumpuuza period japo amewai kupewa kashi kashi kidogo
Mapendekezo.
*Mdude chadema anaweza kua mtu mzuri na mzalendo Sana asikilizwe na apewe nafasi mfano atafutiwe position mfano. Kuwa msimamizi wa projects hata moja mfano kilimo au ufugaji au mradi wowote wa serikali ikiwezekana apewe hata u DC nguvu anazozitumia huku na nguvu anazo tumia huku akazitumie huko kwenye hio kazi tuonee
*Kama mdude chadema haku uwawa kipindi Cha JK,JPM na Sasa mama Samia wampuuze maana debe tupu haliachi kuvuma.
Wasalaam.