Barua ya wazi kwa Paul Makonda

Barua ya wazi kwa Paul Makonda

Mkuu,

Pole kwa majukumu na changamoto za uongozi.

Kwanza naomba ku-declare interest: Mimi ni kijana wa kiislam ambae Nina uelewa kiasi juu ya Uislam.

Hivi karibuni ulidhamiria kufanya kampeni ya kulisafisha jiji la Dar as salaam kuhusu suala zima la watu wanaojihusisha/wanaofanya mapenzi ya jinsia moja (mashoga). Napenda nikuhakikishie kuwa, ndani ya mioyo ya Watanzania wenye busara na akili na wenye kuitakia mema nchi yao ulipata uungwaji mkono wa hali ya juu. Mimi binafsi nilikaa nikawa nakuombea kwa Mungu akupe ujasiri wa kulifanikisha suala lile.

Mkuu, nataka nikuhakikishie na kukufariji kwamba wapo watu wakubwa na wenye busara zao ambao wanajua kwamba ulikuwa sahihi kuanzisha kampeni ile, sitaki kuwazungumzia maana mimi sio msemaji wao rasmi lakini amini usiamini kwamba kuanzia Mheshimiwa Mchungaji Peter Msigwa, Mheshimiwa Said Kubenea, Mheshimiwa Zitto Kabwe, Dk Bashir Ally, Baraza la wawakilishi la Zanzibar na kama sisi hohehahe tulikuwa pamoja na wewe.

Mkuu, suala hili lilikuwa na sura mbili na ni bahati mbaya sana kwamba umma wa wanasiasa wakalifanya ni suala la kisiasa. Wanasiasa hao walikuwa wakikuunga mkono ndani ya mioyo yao lakini kwa sababu hawakutaka kuwakasirisha ma-boss wao wakajitoa akili zao, wakajifanya hamnazo, wakakupinga au wakafurahia pale ulipopingwa hadharani.

Mkuu, katika suala hili la ushoga ujasiri wako hautosahaulika kamwe na Mimi binafsi mungu akinipa umri nitakuja kuhadithia ujasiri huu wajukuu zangu. Vile vile hatutakaa tuusahau ukasuku na unafiki wa wale waliokupinga katika hili, hatuna vya kuwafanya tunawatazama tu ila kiukweli thamani yao kwetu imeshuka.

Mkuu, kwa vile msingi mkubwa wa barua hii ni suala hili la ushoga, naomba tuishie katika suala hili japo zipo kampeni zako nyengine nyingi tu ambazo binafsi nilizikubali sana ila sikukubali njia ulizotumia kwenye kampeni hizo. Kampeni ya madawa ya kulevya, kampeni ya kutetea wanawake/ watoto waliotelekezwa na nyenginezo zilikuwa ni kampeni zenye nia njema lakini njia zilizotumika kufanya kampeni hizo nadhani hazikuwa sahihi. Kama hivyo ndivyo, basi nadhani ipo haja ukaangalia upya timu ya washauri wako.

Najua watatokea watakaonipinga, kunikebehi na kunitukana lakini Mwenyezi Mungu mtukufu kwenye kitabu chake cha qur an anasema " wala msichanganye haki na batili, mkaificha haki na hali mnajua (Qur an 2:42)" na Mimi nimeamua kukukumbusha na kukupongeza juu ya msimamo wako uliouchukua juu ya suala hili.

Mkuu, hata kama nchi hii haina dini, na msingi wa taratibu na kanuni za maisha ya Watanzania ni katiba zao, basi sihitaji kukukumbusha kuwa hiyo katiba ambayo wale waliokupinga "WALIAPA" kuilinda na kuitetea basi inakataa mambo ya ushoga ndani ya nchi hii ambayo mmoja wa waasisi wake alitangazwa kuwa "MTAKATIFU".

Kuna mengi ya kusema lakini kwa Leo naomba niishie hapa ili nikaribishe matusi na kejeli za wale wote wanaotetea ushoga.

Relief Mirzska.
Mimi Mkrusto Mwenyezi Mungu akubariki sana Kila ulifanyalo lifanikiwe kwa kusimama upande wa Mwenyezi Mungu asiyependa Ushoga akujalie uhai Na miaka mingi wewe Na uzao wako Na wakutakiao mabaya iwe kwa siri au dua mbaya kwako Na uzao wako wafe Bila kuugua
 
Aamen!
Duh! Mkuu Leo umeniombea dua kubwa sana. Yaani kubwa mno. Ubarikiwe Mkuu, huu ndio utanzania tunaoutaka na hizi tofauti za kidini tujue vya kuzi-handle.

Heshima kwako mkuu
 
nadhani ungemshauri bashite kwakuwa naye ni mtuhumiwa wa huo ushoga sasa ni kwann asituoneshe mfano kwa kukubali kupimwa marinda...ikumbukwe pia uongozi ni kuonesha njia!.
Hii ni hoja yako mkuu. Wewe pia unaweza kumshauri. I hope we are all professionals here.
 
Aamen!
Duh! Mkuu Leo umeniombea dua kubwa sana. Yaani kubwa mno. Ubarikiwe Mkuu, huu ndio utanzania tunaoutaka na hizi tofauti za kidini tujue vya kuzi-handle.

Heshima kwako mkuu
Kwenye hili la vita ya ushoga tuko pamoja Na naomba Sala kuwa kama kuna adui yeyote wa chochote ukifanyacho awe wa siri au wazi kwako Na uzao wako awe mwanga wa mchana au usiku akutakiaye mabaya wewe Na uzao wako asifanikiwe akutakiayo mabaya yamrudie mara Mia kwake Na uzao wake kwa kitendo chako cha kusimama Na mwenyezi Mungu kupinga ushoga kama kuna lolote limekwama kwenye maisha yako Na uzao wako Sala yangu Mwenyezi Mungu awakwamue haraka hapo mlipokwama
 
Aamyn aamyn
 
Ahsante sana mkuu
 
Hapana mzee. Hata watu wasiomuunga mkono japo kimoyomoyo wanajua Makonda alikuwa sahihi kwenye hili
Sasa nyie na kiki zenu za kitoto tuwaeleweje?
Mashoga nao niwadamu kama ninyi.Ushoga ni ulemavu Maanayake kunawatu wamelemaa hadi sura zimeishaenda huko.
Sasa mnaitisha kampeini hili hiweje? mkiwakamata mnawafunga je mnamagereza yakutosha?

TUNAHITAJI KATIBA ITAKAYOZITAMBUA SHERIA ZA DINI
 
Anapofeli Bashite,ni Approach ya hayo matatizo, niamini waliopiga kelele wengi walimpigia kisa Approach yake.
Huwezi tetea haki kwa kuvunja haki ya Wengine..utaratibu wa kutaja majina hovyo na vitu kama hivyo ilikua ji tatizo.
Haki ya mmoja inaishia inapoanza ya mwingine.
USHOGA NI USHETANI, wala tusipepese macho.
 
Back
Top Bottom