Barua ya wazi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu hali ya haki jinai nchini

Ukiisoma Barua hiyo utagungua kweli kwamba Tanzania bado tupo nyuma mno katika kuheshimu haki za binadamu - Sheria zetu bado za kikoloni na au hata kuzidi zile za Wajerumani na Waingeleza miaka 1890 - 1960.

Sasa hiyo ni nyanja moja tu na Utawala na Sheria - bado hujatembelea huku mwingine - utatoa machozi.
 

Umesema vema sana mkuu. We need reforms
 

Kuna uwezezekano kwamba hata wakoloni wasingeendelea kututendea hivi. Ninaamini.
 
Hichi kinaukweli asilimia 100%
 
Na muda wa kwenda kulala SASA,inasikitisha sana,yaani saa kumi kamili unamfungia mwanadamu mwenzako ndan akalale na hapo ni bado tuh mtuhumiwa hajahukumiwa??

pole Sana mkuu,lakin umeongea ukweli Sana,haki hakuna nchi hii bado tuna safar ndefu
 
Kwa hili andiko hata MATAGA wameinamisha vichwa chini.

Nadhani maundeleo ya kwanza na muhimu kwa kila mtanzania ni Uhuru na haki dhidi ya sheria kandamizi kwa serikali ya ccm
 
Hatimaye Mdude yuko huru na Magufuli anaendelea kutafunwa na minyoo
 
Hili lilikuwa ni Bandiko bora kabisa kwa mwaka 2021
 
Stuxnet: Asante kwa maoni na ushauri wako.
Tito Magoti Bado Nakupongeza sana kwa hiki ulicho andika na kukipresent kwenye Platifofm mbali mbali.

Histori itatukumbuka kwa mambo mema na Karma itafanya kazi yake.
 
Wakati nasoma barua hii yenye hisia, kila mwisho wa Paragraph nilikuwa naongezea sentensi ....."Mama Samia tunaomba utusikie kilio chetu....."
Hii paraphrase yake ingekuwa "Bwana Twakuomba Utusikie"
Dr Samia usimpe utukufu huo
 
tumpeni maji ya kunywa huyu ni binadamu", b
Mungu huwa anatumia watu waovu sometime kuokoa uhai wa watu wengine. Hii ni miujiza.

Ndio matykio kama haya unasikia mtu katekwa kapigwa virungu kichwani na kifuani na kutupwa harafu mnamuokota yuko hai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…