Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
-
- #41
N.a.
Na pia kuna shares za mashirika au kampuni kubwa iwe za umma au za binafsi nao wanaweza kupewa shares au urahisi nafasi ya kuchangia mtaji
[/Q
Kwanini mkuu.pole sana hivi umeshawahi kumuandikia baba yako barua huko kijijini...?
ulicho kiandika kwa watoto wa wakulima hakiwezekani....wazo hilo angelitoa mtu kama Riziwani kikwete....au janeti magufuli lingeonekana la maana la kwa sisi watoto wa wakulima kuandika barua viongozi wa juu...ni kujisumbua tu...na kumaliza wino..Kwanini mkuu.
Rais wetu hayupo hivyo mkuu, labda maRais wa zamani zile ila sio huyu.ulicho kiandika kwa watoto wa wakulima hakiwezekani....wazo hilo angelitoa mtu kama Riziwani kikwete....au janeti magufuli lingeonekana la maana la kwa sisi watoto wa wakulima kuandika barua viongozi wa juu...ni kujisumbua tu...na kumaliza wino..
kwenye nchi zetu za kiafrika ukiona kiongozi yeyote anafanya jambo huwa awafanyi kwa maslahi ya nchi zao bali kwa maslahi ya matumbo yao.....alisikika mlevi mmoja akizungumza
kama hayupo hivo kwenye familia yako kuna ata mmoja amepewa wizara aongoze...?Rais wetu hayupo hivyo mkuu, labda maRais wa zamani zile ila sio huyu.
Hakuna asiye jua kwamba Rais Magufuli anathamini watu wa hali ya chini.
Kwa hiyo kauli yako haiko sahihi.
Hatupo kucheza mkuu, mimi mwenyewe nitakua kiongozi muda si mrefu nikirejea Tanzania.ulicho kiandika kwa watoto wa wakulima hakiwezekani....wazo hilo angelitoa mtu kama Riziwani kikwete....au janeti magufuli lingeonekana la maana la kwa sisi watoto wa wakulima kuandika barua viongozi wa juu...ni kujisumbua tu...na kumaliza wino..
kwenye nchi zetu za kiafrika ukiona kiongozi yeyote anafanya jambo huwa awafanyi kwa maslahi ya nchi zao bali kwa maslahi ya matumbo yao.....alisikika mlevi mmoja akizungumza
hongera Mungu akupe baraka, na mafanikio....unikumbuke kwenye ufalme wakoHatupo kucheza mkuu, mimi mwenyewe nitakua kiongozi muda si mrefu nikirejea Tanzania.
Hivyo mjiandae, sera ya viwanda ndio mpango mzima.
Nitaungana na Rais Magufuli kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya Viwanda.
Mimi naona mifano ya huku niliko jinsi viwanda vinavyo operate.
Rais Magufuli ni mtu wa watu wote hata huku wanamsimulia kila kona.
Africa nzima wanamfahamu vilivyo kuwa ndiye Rais wa Africa.
Familia yangu wapo wengi tu, wanachapa kazi na Rais Magufuli. Si hivyo watu wangu wa karibu nao pia wanachapa kazi na Magufuli. Mfano nadhani unamfahamu naibu wetu wa wizara ya michezo. Huo ni mfano mmoja.kama hayupo hivo kwenye familia yako kuna ata mmoja amepewa wizara aongoze...?
ndio maana nikakwambia hongera kamanda.....unikumbuke na mimi kwenye ufalme wako...mimi hata ukinipa ufanya usafi tu unanitosha kamandaFamilia yangu wapo wengi tu, wanachapa kazi na Rais Magufuli. Si hivyo watu wangu wa karibu nao pia wanachapa kazi na Magufuli. Mfano nadhani unamfahamu naibu wetu wa wizara ya michezo. Huo ni mfano mmoja.
Mkuu usiogope hata wewe unaweza kuwa kiongozi sasa. Huu ndio muda sasa umefika chukua form gombea usiogope.hongera Mungu akupe baraka, na mafanikio....unikumbuke kwenye ufalme wako
Mkuu wala usijali everything gonna be right.Mkuu usiogope hata wewe unaweza kuwa kiongozi sasa. Huu ndio muda sasa umefika chukua form gombea usiogope.
haaahaa....sina wazo hilo...siasa za maji taka siziwezi kabisa...labda nikianza kuzeeka ndio nitaikimbilia siasa ila kwa sasa ngoja nifanye mambo mengine sitaki kuja kudhalilika.Mkuu usiogope hata wewe unaweza kuwa kiongozi sasa. Huu ndio muda sasa umefika chukua form gombea usiogope.
Serikali yetu haijawahi kufanya biashara yoyote kwa faida. Ukiritimba wa Serikali hauwezi kuendesha biashara.Sio kuchangishana bali kuuza shares kwa kila mtanzania ya hiyo trillion 7 gawa kwa wa Tz waliosajiliwa, mtu asiponunua inapitishwa round ya pili kwa walionunua hivyo hivyo mpaka zinapatikana hizo 7 trillioni
Serikali sio itafanya biashara bali institution itakayoanzishwa ndio utakayo fanya hiyo shughuli .Serikali yetu haijawahi kufanya biashara yoyote kwa faida. Ukiritimba wa Serikali hauwezi kuendesha biashara.
Wazo la kuwekeza ni jema lakini siyo kwa kufanywa na Serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali yetu haijawahi kufanya biashara yoyote kwa faida. Ukiritimba wa Serikali hauwezi kuendesha biashara.
Wazo la kuwekeza ni jema lakini siyo kwa kufanywa na Serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nadhani amekuelewa, big upSerikali sio itafanya biashara bali institution itakayoanzishwa ndio utakayo fanya hiyo shughuli .
Kutumika kwa serikali hapo mwanzo ni kama promoter of that business , baada ya kufanya tathimini ya vitu mbali mbali ikiwemo mahitaji ya resources hasa hasa mtaji