Barua ya wazi kwa Sheikh Mziwanda na Dr. Sule: Acheni kutetea dhulma dhidi ya Watanzania wenzenu

Mwenyezi Mungu atulindie BAKWATA yetu aaamin aaamin😍
Kishki mtoe Kwenye kundi la akina sule, mwayapopo na wenzao, Bakwata ishatolea ufafanuzi matukio hayo hayo mengine ni maoni yao binafsi, sisi tuko bega Kwa bega na bakwata
 
Haishangazi.....

Anaweza akawa ni sheikh wa elimu ya dini lakini pia mwanaharakati.....sasa harakati zake anazifanya dhidi ya Chadema 🤣🤣
 

1. Mkuu umeandika vyema sana.

2. Tukemeane sisi kwa sisi inapobidi huku tukiwekeza zaidi kwenye makaribiano.

3. Nchimbi amesikika akisema kiutu uzima na kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah.

4. Hii nchi itakombolewa na sisi sote ambapo umoja wetu ndiyo pekee tulichonacho:

Tuwatambue wapigania ukombozi mamboleo wasiokuwa na mchango wowote kwa taifa hili
 
Wamesahau harakati za Sheikh Ponda kuipambania Ccm na mgombea wake ila baadae walimgeuka waziwazi na kumpa kesi
 
Asilimia 90% masheikh wetu wanaitwaga masheikh ubwabwa, wao wanawaza ngono na kula tu, na kias kikubwa watahubiri mambo ya majini na shirki, lakini kutoa ushauri wa maana kabisa sijawahi kuona,
Akili hizo watazitoa wapi na shule walikimbia umande?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…