Barua ya wazi kwa Sheikh Mziwanda na Dr. Sule: Acheni kutetea dhulma dhidi ya Watanzania wenzenu

Hao Masheikh ni wahuni tu wanaotegemea kuvuna kitu toka meza kuu. Huyo Sule ndiyo mhuni kabisa anayetangaza biashara ya pete zake za majini.
 
Sijui kwanini ukiwa upande ule lazima na uzezeta japo hata kidogo tu
Nami nashangaa.🙌🙌🙌

✍️Mit 31:6
Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.

✍️Hab 2:15
Ole wake yeye ampaye jirani yake kileo, wewe utiaye sumu yako, na kumlevya pia, ili kuutazama uchi wao. Pdidy
 
Masheikh 80% wanà uelewa mdogo wa mambo yasiyokuwa ya dini....hawa wapo vyema kukariri tu Quran ila huku kwingine ni weupe mno
Hili Taifa litaendelea kutaabika kwa kuwa na watu kama hawa. Mungu awalaani wale wote washabikiao mauaji ya Roho za wengine. Uchawa wa aina yake . Ukweli usemwe bila ya kujali kuwa aliyetenda anatoka upande gani
 
kukariri Quran ndio inakuwaje ni zaidi ya kila kitu ikiwa mambo ya kawaida tu masheikh wanatia aibu? Tangu lini mtu anaekariri akawa na akili?
Tuwapuuze hawanaga msimamo katika mambo ya Kitaifa, wanajali zaidi maslahi yao binafsi na hawawakilishi maoni na misimamo ya wafuasi wao
 
Unakumbuka harakati za Sheikh Ponda na Ilunga (Rip)?....Kumbe walikuwa wanakosea kuminyana na utawala wa Ccm ?
 
Usiwe kama kiazi na mjinga wa kupotezea historia, wale wa tuhuma za ugaidi wa Arusha na kwingineko si ilikuwa enzi ya Mzee wa Msoga yule ni dini gani???


Sasa usipayuke tu kisa unaona sa hivi ni sahihi kisayupo mwenzenu na aliepita hakuwa mwenzenu


Serikali ina taratibu zake na inapozifuata tegemea maumivu kwa upande wowote as long as amani itaendelea kutawala na nchi inakaa kwenye msingi sahihi
 
Kishki, Mziwanda, "dokta" Sule wote hawajasimama sawa. Huyo Ponda naye hajasimama sawa na ni mwanaharakati tu. Allah atuongoze sisi na wao.

Masheikh waliosimama sawa ni wale walio katika njia ya Salaf
Wepi hao? Salaf ni wema waliotangulia
 
Chadema imeingiaje hapo? Mtoa mada kaandika chama? Au unataka kutuaminisha kuwa kuwa ccm ni cha kiislamu na Chadema ni cha kikristo? Tumeshatoka huko miaka mingi sana aisee! Bado ww tu.
 
Masheikh waliswekwa ndani na mzee wa Msoga, je ni Mkristo? Ni Chadema haohao waliopiga kelele na si CCM. Wakati wa awamu ya JPM ni Chadema haohao waliopiga kelele na kupitia hekaheka nyingi kama kupigwa risasi makamu mwenyekiti, kukamatwa kwa viongozi wao na wemgine kupotezwa kabisa! Iweje awamu hii iwe kosa kwao kukosoa utawala na kudai haki zao!? Huo udini mbona wewe na Masheikh njaa wako ndo mnauleta?
 
Unaweza kuwatofautisha kutokana na hizo kauli zao uislamu unapinga dhulma bila ya kujali hiyo dhulma imefanywa na nani muislamu wa kweli hawezi kuunga mkono dhulma
Kwahiyo kwa kauli za Sulle,mwaipopo na mziwanda nikwamba sio uislamu?
 
Bakwata iwe inawatimua kabisa hao mashehena, wao sio chombo maalumu cha matamko, matamko yote ya kitaifa yawe yanatolewa na Bakwata, kuwaachia mashehena hao ni kuuchafua uongozi wa Bakwata mchana kweupe
Sasa hao si ndio BAKWATA wenyewe?



Halafu BAKWATA = CCM
 
kukariri Quran ndio inakuwaje ni zaidi ya kila kitu ikiwa mambo ya kawaida tu masheikh wanatia aibu? Tangu lini mtu anaekariri akawa na
Acha upumbavu wako wa udini.


Masheikh wanazingua sana ila sababu ni tamaa zao tu


Hao masheikh wa BAKWATA ni CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…