Barua ya wazi kwa Sheikh Mziwanda na Dr. Sule: Acheni kutetea dhulma dhidi ya Watanzania wenzenu

Hapo ndio utajua kuwa akili ya mtu mwenye Qur'an kichwani ni zadi kuliko za maprofesa wao wanaosahau kama kuku.
kukariri Quran ndio inakuwaje ni zaidi ya kila kitu ikiwa mambo ya kawaida tu masheikh wanatia aibu? Tangu lini mtu anaekariri akawa na akili?
 
Mnadharau masheikh kwa kejeli kisha mnataka Waislam wawaunge mkono?

Nani haujui mlengo wa CHADEMA kwenye swala la dini?

Hoja ya Mziwanda ni kuwa mnakuwa na consistency kwenye kulaani matukio!!

Wakati masheikh wanakamatwa na kuswekwa ndani kwa dhulma hamkuinuka kisa kiongozi mkuu alikuwa dini yenu!
Masheikh waliswekwa ndani na muislamu mwenzenu na wakaja kuachiwa na mkatoliki magufuli....ukifanya uovu unataka watu wakubebe? Mfano yule padri wa kule kagera hauoni wakristo wamemuacha tu ateseke na shutuma zake? Mtu anaekaririshwa hawi na akili
 
Ndugu Masheikh
Nimewajibika kuandika barua hii kuwaomba kwa unyenyekevu mkubwa ACHENI KUTETEA dhulma dhidi ya watanzania wenzenu ktak madhila yanayowakumbuka.

NIANZE NA SULE
Wakati wa sakata la Ngorongoro, Mwanamihadhara ndugu Sule aliandaa clip ambayo ilisambazwa katika makundi ya kijamii ikieleza kuwa wamasai waishio ngorongoro ni wakenya waliovamia maeneo hayo kutoka Kenya. Katika kauli hizo akajaribu kuwaaminisha watanzania kuwa hao wamasai walioko ngorngoro hawastahili kuonewa huruma pindi serikali ikijaribu kuwatoa kwa sababu ni Wakenya.
Kauli hii ilikuwa ni ya ajabu sana hasa ukizingatia kwanza ni uongo, maana wamasai walioko ngorongoro walihamishiwa hapo na serikali hiyohiyo ili kupisha uanzishwaji wa hifadhi ya Serengeti miaka ya 1960's. lakini ukiachilia mbali hilo ile ni kauli isiyo na chembe ya huruma kwa watanzania wenzetu waishio ngorongoro ambao, walikuwa wananyimwa kila aina ya haki za kiraia na utawala huu wa Samia ili kuwapa maisha magumu waondoke. Kusema uongo ni kinyume cha Agizo la Mwenyezi Mungu anayetaka watu waseme ukweli!
Hata hivyo ndugu Sule amekuwa akilalamikiwa na waislamu wenyewe kwa kulete mafundisho ambayo wao wanaita ni Shirki, kwa kutangaza pete za Majini kuwa eti zina msaada kwa watu kitu ambacho masheikh wenzie wamempnga vikali kuwa asilete SHIRKI katika dini.

KWA SHEIKH MZIWANDA
Ndugu Sheikh mziwanda, umesikika ukidai kuwa wanaotekana nchini ni CHADEMA wenyewe, na ukatoa Clip ya Dr Slaa ya miaka takriban minne akizungumzia tukio la kutekana katika chama. Kinachonisikitisha unanasibisha matukio ya sasa kwa kusema kuwa ni CHADEMA wanafanyiana hayo.
Ndugu Mziwanda, Muogope ALLAH, Tafadhali sana ndugu yangu, Wewe mwenyewe umesema una listi ya watu zaidi ya 100 waliotekwa kipindi cha Magufuli, Je Ndugu mziwanda hao wote walitekwa na CHADEMA?- Mo Dewji alitekwa na CHADEMA?,Roma mkatoliki alitekwa na CHADEMA?, Azory Gwanda alipotezwa na CHADEMA?

Kwenye kauli yako ukasikika unasema kuwa kipindi cha Magufuli walipotea zaidi ya watu 100, ukahoji kuwa mbona hakukuwa na maandamano?- Kwa hiyo ndugu Mziwanda, unataka kutwambia kuwa kwa kuwa watu hawakuandamana kudai jambo fulani kipindi cha nyuma basi ni makosa watu hao kuandamana kutaka jambo fulani leo hata kesho?. Sisi tunapata mashaka ndugu Mziwanda kuwa unataka kuchomeka hisia za udini, unataka watu waone kuwa kwa kuwa mtawala wa sasa ni muislamu basi kila dai lolote la msingi ambalo raia wa nchi hii wanalo basi eti wanaweka presha kwa sababu rais ni muislamu. NDugu mziwanda hiki unachokifanya ni kibya mno, si chema na kwa kweli kinagawa watu kuliko kujenga!

MZIWANDA, wewe hujitokeza mara nyingi wananchi wanapokuwa na ishu na serikali yao, wewe husimama kuitetea serikali tena kwa kuwagawa waislamu wajitenge na madai ya msingi ya kitaifa. Ulifanya hivyo katika mimbari kutetea uuzwaji wa bandari, ukadai kuwa mama anashambuliwa kwa imani yake.
Leo Umma unataka kutumia haki zao za kikatiba kuandamana ili mauaji na utekwaji vikomeshwe, wewe unakuja na kuongea na waislamu eti wajitenge na mambo hayo. SHEIKH HIVI UNASIMAMIA HAKI AU UNAWALINDA WATAWALA?

Sheikh: Kwani mtume si alisema ukiona jambo baya/ovu liondoe kwa mkono wako, ukishindwa kemea uovu huo, na kama kukemea huwezi si mtume alisema chukia?- SASA WEWE unasimamia wapi katika hayo matatu kuhusiana na matendo ya kutekwa, kupotezwa na kuuawa watu?. Je hutaki watu waingie mitaani kukemea uovu huo unataka wafanyeje?. Umesema kuwa wakati wa Magufuli walipotea watu zaidi ya 100, LINI WEWE UMEWAHI KUKEMEA JAMBO HILO WAZIWAZI UMMA UKAKUSIKIA?

SHEIKH MZIWANDA SI KWA SABABU SAMIA NI MUISLAMU BASI UNAJARIBU KUMLINDA NA KUMKINGIA KIFUA KWA KILA KITU KIBAYA!.

Ndugu Mziwanda, Mwenyezi Mungu katika Qur'an anasema kuwa sema kweli hata kama ukweli huo "unakunyooshea kidole" wewe mwenyewe. Sasa kama mtu inabidi ujishuhudie ukweli hata kama ukweli huo uko dhidi yako kwa nini unamkingia Kifua Samia eti kwa sababu Samia ni muislamu mwenzako tu?.
Je umesahau Khalifa mmoja wa kiislamu amewahi kumpa haki Myahudi licha ya kuwa kuna shauri mbele yake lililetwa linalomhusu muislamu na myahudi. Kwa nini alimpa haki myahudi badala ya muislamu mwenzie?

NDUGU MZIWANDA: Umekuwa ukijaribu kuwatenga waislamu wasiungane na watanzania wenzao kwa hoja za 1. Amani, 2. Mbona wakati wa magufulihaikuwa hivi
Ningependa kukwambia tu kuwa wanaotekwa, kupotezwa na kuuawa siyo wakiristu tu bali hata waislamu pia. Mo Dewji ni muislamu, Mzee Ally kibao ni muislamu. Sasa kwa nini hutaki waislamu waungane na waislamu wenzao kupaza sauti kukataa udhalimu huu?

SHEIKH MZIWANDA: Napenda nikukumbushe tu kuwa ukizuia WENGI KUDAI HAKI basi mtu mmoja mmoja kwa siri au kwa dhahiri ataamua kuidai peke yake, Je unajua kitakachotokea pale mtu mmoja bila kushawishiwa na mwingine, au kwa kumshirikisha mwingine ataamua kulipa kisasi?.

SHEIKH tafadhali tetea haki ya watu, usitetee "ULUA" wa watawala!
Actually, anachokifanya hakina utukufu wa Mungu. Watu kama hawa huwa sioni kama ni viongozi wa dini (watu wa mfano wa kuigwa kiimani na kimaadili). Hopeless kabisa!
 
Sule ni Teeth
 
Bakwata
Bakwata iwe inawatimua kabisa hao mashehena, wao sio chombo maalumu cha matamko, matamko yote ya kitaifa yawe yanatolewa na Bakwata, kuwaachia mashehena hao ni kuuchafua uongozi wa Bakwata mchana kweupe
Nao si ndiyo chombo cha wajinga?
 
Mnadharau masheikh kwa kejeli kisha mnataka Waislam wawaunge mkono?

Nani haujui mlengo wa CHADEMA kwenye swala la dini?

Hoja ya Mziwanda ni kuwa mnakuwa hamna consistency kwenye kulaani matukio!!

Wakati masheikh wanakamatwa na kuswekwa ndani kwa dhulma hamkuinuka kisa kiongozi mkuu alikuwa dini yenu!
Acha uwongo.

Tundu Lissu ndiye kinara wakutetea mashekh. Rejea mashekh na tuuma za ugaidi.
 
Asilimia 90% masheikh wetu wanaitwaga masheikh ubwabwa, wao wanawaza ngono na kula tu, na kias kikubwa watahubiri mambo ya majini na shirki, lakini kutoa ushauri wa maana kabisa sijawahi kuona,
Hao wote ni matapeli tu hawana usheh wowote....
Waongowaongo,maneno mengi tu,wamepita na upepo ule tu wa sahv tz mtu akiongea sana,lopolopo nyingi basi watu humuona ana akili 😄

Ova
 
Hao wote ni matapeli tu hawana usheh wowote....
Waongowaongo,maneno mengi tu,wamepita na upepo ule tu wa sahv tz mtu akuongea sana,lopolopo nyingi basi watu humuona ana akili 😄

Ova
Wanajivunjia heshima sana , halafu sio mashehe tu hata manabii, mitume uchwara nayo ndio hayohayo
 
Mnadharau masheikh kwa kejeli kisha mnataka Waislam wawaunge mkono?

Nani haujui mlengo wa CHADEMA kwenye swala la dini?

Hoja ya Mziwanda ni kuwa mnakuwa hamna consistency kwenye kulaani matukio!!

Wakati masheikh wanakamatwa na kuswekwa ndani kwa dhulma hamkuinuka kisa kiongozi mkuu alikuwa dini yenu!

..kwanza, Mashekhe walikamatwa na Ccm ambayo leo hii Sheikh Mziwanda anaitetea.

..Pili, vyama vya upinzani kwa nyakati mbalimbali viliwatetea Mashekhe waliokuwa magerezani.

..Wapinzani waliwatetea Mashekhe na wananchi waliyopotezwa kwa kutoa hoja bungeni. Kwa bahati mbaya hoja hiyo ilizimwa na wabunge wa Ccm.

..Kama utakumbuka mgombea Uraisi wa CHADEMA ndiye mgombea pekee aliyesimama jukwaani na kuwataja Mashekhe wa ANSWAR SUNNA waliofungwa magerezani.

..Samia Suluhu muda wote alikuwa kimya kuhusu kadhia ya Mashekhe. Ujasiri ameupata baada ya kuwa Raisi na Mashekhe wameshateseka na wengine kufa. Na kuna habari za chinichini kwamba wametoka Mashekhe wa Kizanzibar, Watanganyika wanaendelea kusota.
 
Serikali ya CCM imetesa masheikh wa uamsho tena chini ya rais muislamu
Serikali ya CCM tena chini ya rais muislamu imekamata masheikh na kuwasweka ndani masheikh kibao huko Arusha
Miaka yote hiyo wapinzani na wanaharakati wamekuwa wakiwatetea masheikh hao

Cha ajabu anakuja Sheikh Mziwanda anaiona serikali ni wema ila wapinzani ni wabaya!. Ajabu sana hii!
 
Ndugu Masheikh
Nimewajibika kuandika barua hii kuwaomba kwa unyenyekevu mkubwa ACHENI KUTETEA dhulma dhidi ya watanzania wenzenu ktak madhila yanayowakumbuka.

NIANZE NA SULE
Wakati wa sakata la Ngorongoro, Mwanamihadhara ndugu Sule aliandaa clip ambayo ilisambazwa katika makundi ya kijamii ikieleza kuwa wamasai waishio ngorongoro ni wakenya waliovamia maeneo hayo kutoka Kenya. Katika kauli hizo akajaribu kuwaaminisha watanzania kuwa hao wamasai walioko ngorngoro hawastahili kuonewa huruma pindi serikali ikijaribu kuwatoa kwa sababu ni Wakenya.
Kauli hii ilikuwa ni ya ajabu sana hasa ukizingatia kwanza ni uongo, maana wamasai walioko ngorongoro walihamishiwa hapo na serikali hiyohiyo ili kupisha uanzishwaji wa hifadhi ya Serengeti miaka ya 1960's. lakini ukiachilia mbali hilo ile ni kauli isiyo na chembe ya huruma kwa watanzania wenzetu waishio ngorongoro ambao, walikuwa wananyimwa kila aina ya haki za kiraia na utawala huu wa Samia ili kuwapa maisha magumu waondoke. Kusema uongo ni kinyume cha Agizo la Mwenyezi Mungu anayetaka watu waseme ukweli!
Hata hivyo ndugu Sule amekuwa akilalamikiwa na waislamu wenyewe kwa kulete mafundisho ambayo wao wanaita ni Shirki, kwa kutangaza pete za Majini kuwa eti zina msaada kwa watu kitu ambacho masheikh wenzie wamempnga vikali kuwa asilete SHIRKI katika dini.

KWA SHEIKH MZIWANDA
Ndugu Sheikh mziwanda, umesikika ukidai kuwa wanaotekana nchini ni CHADEMA wenyewe, na ukatoa Clip ya Dr Slaa ya miaka takriban minne akizungumzia tukio la kutekana katika chama. Kinachonisikitisha unanasibisha matukio ya sasa kwa kusema kuwa ni CHADEMA wanafanyiana hayo.
Ndugu Mziwanda, Muogope ALLAH, Tafadhali sana ndugu yangu, Wewe mwenyewe umesema una listi ya watu zaidi ya 100 waliotekwa kipindi cha Magufuli, Je Ndugu mziwanda hao wote walitekwa na CHADEMA?- Mo Dewji alitekwa na CHADEMA?,Roma mkatoliki alitekwa na CHADEMA?, Azory Gwanda alipotezwa na CHADEMA?

Kwenye kauli yako ukasikika unasema kuwa kipindi cha Magufuli walipotea zaidi ya watu 100, ukahoji kuwa mbona hakukuwa na maandamano?- Kwa hiyo ndugu Mziwanda, unataka kutwambia kuwa kwa kuwa watu hawakuandamana kudai jambo fulani kipindi cha nyuma basi ni makosa watu hao kuandamana kutaka jambo fulani leo hata kesho?. Sisi tunapata mashaka ndugu Mziwanda kuwa unataka kuchomeka hisia za udini, unataka watu waone kuwa kwa kuwa mtawala wa sasa ni muislamu basi kila dai lolote la msingi ambalo raia wa nchi hii wanalo basi eti wanaweka presha kwa sababu rais ni muislamu. NDugu mziwanda hiki unachokifanya ni kibya mno, si chema na kwa kweli kinagawa watu kuliko kujenga!

MZIWANDA, wewe hujitokeza mara nyingi wananchi wanapokuwa na ishu na serikali yao, wewe husimama kuitetea serikali tena kwa kuwagawa waislamu wajitenge na madai ya msingi ya kitaifa. Ulifanya hivyo katika mimbari kutetea uuzwaji wa bandari, ukadai kuwa mama anashambuliwa kwa imani yake.
Leo Umma unataka kutumia haki zao za kikatiba kuandamana ili mauaji na utekwaji vikomeshwe, wewe unakuja na kuongea na waislamu eti wajitenge na mambo hayo. SHEIKH HIVI UNASIMAMIA HAKI AU UNAWALINDA WATAWALA?

Sheikh: Kwani mtume si alisema ukiona jambo baya/ovu liondoe kwa mkono wako, ukishindwa kemea uovu huo, na kama kukemea huwezi si mtume alisema chukia?- SASA WEWE unasimamia wapi katika hayo matatu kuhusiana na matendo ya kutekwa, kupotezwa na kuuawa watu?. Je hutaki watu waingie mitaani kukemea uovu huo unataka wafanyeje?. Umesema kuwa wakati wa Magufuli walipotea watu zaidi ya 100, LINI WEWE UMEWAHI KUKEMEA JAMBO HILO WAZIWAZI UMMA UKAKUSIKIA?

SHEIKH MZIWANDA SI KWA SABABU SAMIA NI MUISLAMU BASI UNAJARIBU KUMLINDA NA KUMKINGIA KIFUA KWA KILA KITU KIBAYA!.

Ndugu Mziwanda, Mwenyezi Mungu katika Qur'an anasema kuwa sema kweli hata kama ukweli huo "unakunyooshea kidole" wewe mwenyewe. Sasa kama mtu inabidi ujishuhudie ukweli hata kama ukweli huo uko dhidi yako kwa nini unamkingia Kifua Samia eti kwa sababu Samia ni muislamu mwenzako tu?.
Je umesahau Khalifa mmoja wa kiislamu amewahi kumpa haki Myahudi licha ya kuwa kuna shauri mbele yake lililetwa linalomhusu muislamu na myahudi. Kwa nini alimpa haki myahudi badala ya muislamu mwenzie?

NDUGU MZIWANDA: Umekuwa ukijaribu kuwatenga waislamu wasiungane na watanzania wenzao kwa hoja za 1. Amani, 2. Mbona wakati wa magufulihaikuwa hivi
Ningependa kukwambia tu kuwa wanaotekwa, kupotezwa na kuuawa siyo wakiristu tu bali hata waislamu pia. Mo Dewji ni muislamu, Mzee Ally kibao ni muislamu. Sasa kwa nini hutaki waislamu waungane na waislamu wenzao kupaza sauti kukataa udhalimu huu?

SHEIKH MZIWANDA: Napenda nikukumbushe tu kuwa ukizuia WENGI KUDAI HAKI basi mtu mmoja mmoja kwa siri au kwa dhahiri ataamua kuidai peke yake, Je unajua kitakachotokea pale mtu mmoja bila kushawishiwa na mwingine, au kwa kumshirikisha mwingine ataamua kulipa kisasi?.

SHEIKH tafadhali tetea haki ya watu, usitetee "ULUA" wa watawala!
Sule ni mchawi yaani mganga wa kienyeji ndani ya uislam.

Mchawi ni mpinga haki na maendeleo ndo maana mbanga za kuroga ni order of the day
 
Ndugu Masheikh
Nimewajibika kuandika barua hii kuwaomba kwa unyenyekevu mkubwa ACHENI KUTETEA dhulma dhidi ya watanzania wenzenu ktak madhila yanayowakumbuka.

NIANZE NA SULE
Wakati wa sakata la Ngorongoro, Mwanamihadhara ndugu Sule aliandaa clip ambayo ilisambazwa katika makundi ya kijamii ikieleza kuwa wamasai waishio ngorongoro ni wakenya waliovamia maeneo hayo kutoka Kenya. Katika kauli hizo akajaribu kuwaaminisha watanzania kuwa hao wamasai walioko ngorngoro hawastahili kuonewa huruma pindi serikali ikijaribu kuwatoa kwa sababu ni Wakenya.
Kauli hii ilikuwa ni ya ajabu sana hasa ukizingatia kwanza ni uongo, maana wamasai walioko ngorongoro walihamishiwa hapo na serikali hiyohiyo ili kupisha uanzishwaji wa hifadhi ya Serengeti miaka ya 1960's. lakini ukiachilia mbali hilo ile ni kauli isiyo na chembe ya huruma kwa watanzania wenzetu waishio ngorongoro ambao, walikuwa wananyimwa kila aina ya haki za kiraia na utawala huu wa Samia ili kuwapa maisha magumu waondoke. Kusema uongo ni kinyume cha Agizo la Mwenyezi Mungu anayetaka watu waseme ukweli!
Hata hivyo ndugu Sule amekuwa akilalamikiwa na waislamu wenyewe kwa kulete mafundisho ambayo wao wanaita ni Shirki, kwa kutangaza pete za Majini kuwa eti zina msaada kwa watu kitu ambacho masheikh wenzie wamempnga vikali kuwa asilete SHIRKI katika dini.

KWA SHEIKH MZIWANDA
Ndugu Sheikh mziwanda, umesikika ukidai kuwa wanaotekana nchini ni CHADEMA wenyewe, na ukatoa mfano wa Clip ya Dr Slaa ya miaka takriban minne akizungumzia tukio la kutekana katika chama. Kinachonisikitisha unanasibisha matukio ya sasa kwa kusema kuwa ni CHADEMA wanafanyiana hayo.
Ndugu Mziwanda, Muogope ALLAH, Tafadhali sana ndugu yangu, Wewe mwenyewe umesema una listi ya watu zaidi ya 100 waliotekwa kipindi cha Magufuli, Je Ndugu mziwanda hao wote walitekwa na CHADEMA?- Mo Dewji alitekwa na CHADEMA?,Roma mkatoliki alitekwa na CHADEMA?, Azory Gwanda alipotezwa na CHADEMA?

Kwenye kauli yako ukasikika unasema kuwa kipindi cha Magufuli walipotea zaidi ya watu 100, ukahoji kuwa mbona hakukuwa na maandamano?- Kwa hiyo ndugu Mziwanda, unataka kutwambia kuwa kwa kuwa watu hawakuandamana kudai jambo fulani kipindi cha nyuma basi ni makosa watu hao kuandamana kutaka jambo fulani leo hata kesho?. Sisi tunapata mashaka ndugu Mziwanda kuwa unataka kuchomeka hisia za udini, unataka watu waone kuwa kwa kuwa mtawala wa sasa ni muislamu basi kila dai lolote la msingi ambalo raia wa nchi hii wanalo basi eti wanaweka presha kwa sababu rais ni muislamu. NDugu mziwanda hiki unachokifanya ni kibya mno, si chema na kwa kweli kinagawa watu kuliko kujenga!

MZIWANDA, wewe hujitokeza mara nyingi wananchi wanapokuwa na ishu na serikali yao, wewe husimama kuitetea serikali tena kwa kuwagawa waislamu wajitenge na madai ya msingi ya kitaifa. Ulifanya hivyo katika mimbari kutetea uuzwaji wa bandari, ukadai kuwa mama anashambuliwa kwa imani yake.
Leo Umma unataka kutumia haki zao za kikatiba kuandamana ili mauaji na utekwaji vikomeshwe, wewe unakuja na kuongea na waislamu eti wajitenge na mambo hayo. SHEIKH HIVI UNASIMAMIA HAKI AU UNAWALINDA WATAWALA?

Sheikh: Kwani mtume si alisema ukiona jambo baya/ovu liondoe kwa mkono wako, ukishindwa kemea uovu huo, na kama kukemea huwezi si mtume alisema chukia?- SASA WEWE unasimamia wapi katika hayo matatu kuhusiana na matendo ya kutekwa, kupotezwa na kuuawa watu?. Je hutaki watu waingie mitaani kukemea uovu huo unataka wafanyeje?. Umesema kuwa wakati wa Magufuli walipotea watu zaidi ya 100, LINI WEWE UMEWAHI KUKEMEA JAMBO HILO WAZIWAZI UMMA UKAKUSIKIA?

SHEIKH MZIWANDA SI KWA SABABU SAMIA NI MUISLAMU BASI UNAJARIBU KUMLINDA NA KUMKINGIA KIFUA KWA KILA KITU KIBAYA!.

Ndugu Mziwanda, Mwenyezi Mungu katika Qur'an anasema kuwa sema kweli hata kama ukweli huo "unakunyooshea kidole" wewe mwenyewe. Sasa kama mtu inabidi ujishuhudie ukweli hata kama ukweli huo uko dhidi yako kwa nini unamkingia Kifua Samia eti kwa sababu Samia ni muislamu mwenzako tu?.
Je umesahau Khalifa mmoja wa kiislamu amewahi kumpa haki Myahudi licha ya kuwa kuna shauri mbele yake lililetwa linalomhusu muislamu na myahudi. Kwa nini alimpa haki myahudi badala ya muislamu mwenzie?

NDUGU MZIWANDA: Umekuwa ukijaribu kuwatenga waislamu wasiungane na watanzania wenzao kwa hoja za 1. Amani, 2. Mbona wakati wa magufulihaikuwa hivi
Ningependa kukwambia tu kuwa wanaotekwa, kupotezwa na kuuawa siyo wakiristu tu bali hata waislamu pia. Mo Dewji ni muislamu, Mzee Ally kibao ni muislamu. Sasa kwa nini hutaki waislamu waungane na waislamu wenzao kupaza sauti kukataa udhalimu huu?

SHEIKH MZIWANDA: Napenda nikukumbushe tu kuwa ukizuia WENGI KUDAI HAKI basi mtu mmoja mmoja kwa siri au kwa dhahiri ataamua kuidai peke yake, Je unajua kitakachotokea pale mtu mmoja bila kushawishiwa na mwingine, au kwa kumshirikisha mwingine ataamua kulipa kisasi?.

SHEIKH tafadhali tetea haki ya watu, usitetee "ULUA" wa watawala!
Sisi masufi....

Tusikilize sisi wafuasi wa BAKWATA.....

Sheikh wetu mkubwa Hassan Chizenga ameshasema.....

Sisi masufi hatumuonei na kumdhulumu hata SISIMIZI.....

Masheikh wako wengi ,wachungaji wako wengi....wako akina mch.Kiboko ya wachawi....na maustadhi kiboko ya wanga pia tunao.....

#Waislam yetu ni BAKWATA😍
 
Back
Top Bottom