Barua ya wazi kwa Tundu Lissu kumuonya dhidi ya kutetea masikini na wapumbavu

Aisee hili jamaa nimelipenda bure! hard facts!! solid facts! Mwaka 2021 niliandika hapa hakuna kumpa mwenzako kibaba cha unga wala rubisi/mbege/kimpumu/bia nk. Kila mmoja ajipange (kikenya hicho). Kama mtu anasaliti mwenzake aliyepigwa risasi 38 kwa kipande cha kitambaa cha kijani huyo si mtu na afe ikiwezekana. Ajipiganie. watekaji ni wale malofa na maskini wanaotetewa!! Leave them alone!!
 

Hii ndio Suluhu.
Kila mtu abebe msalaba wake
 
MKuu sasa unamkataza asije sisi tutaokolewa na nani?
 
Masikini waone hivyo hivyo Mkuu.
Bila kumdhulumu hawezi kukuheshimu, atakudharau.

Masikini ukimsaidia haoni kama unamfanyia favour, yeye anajua ni wajibu wako. naye ni halali yake kusaidiwa.

Masikini anatamani aone anguko lako. Yaani acha tuu
Dahh wejamaa?
 
Ukweli.mtupu aisee
 
Ndio mkuu unatukosesha ukombozi.
Hivi unakumbuka kuwa Tanzania nzima ni Tundu Lissu pekee aliyeweza kusimama na kubweka mbele ya Chui mkali?

Muulize kilichomkuta ni nini? Na ninyi mliokuwa mnakombolewa mlifanya nini Kumsaidia Mkombozi wenu.

Vita yoyote inahitaji Calculation
 
Umetoka Machakani.?
Ishara nzuri sasa unatapatapa....kamba inakaza.

Misogynist Inbred Twat
Bigoted Racist Twat

Hakuna Tapeli mkubwa ambaye ameshatokea Tanzania. Kama Robert Heriel Mtema sumu.



 
Mbowe amelisema Hilo alipokuwa Uingereza, aliwaambia wakati anakamatwa alikuwa anaandaa maandamano ya katiba mpya, yanafanyika kesho, kakamatwa Leo, kesho yake hakuna aliyeandamana, hata mahakama kuu, alikuwa anaenda Mnyika na wenzake, na walikuwa wanaenda kwa sababu kulikuwa na posho maalum ambayo balozi wa Marekani, nchi anayotoka Lissu, Mbowe na Lema alitoa kupitia wizara ya fedha ya marekani
 
Mbowe Alisema nini?

Kwamba tuna watu wa aina hizo alizozitaja huyo Shetani, Mchukia Jamii, Mkimbari Robert Heriel??

Au ulitaka kumega kuhusu Usaidizi wa Balozi?

Fafanua msijiwekee viji code
 
Kwanini unamwita majina mabaya Taycon wa fasihi?
Umetoka Machakani.?
Ishara nzuri sasa unatapatapa....kamba inakaza.

Misogynist Inbred Twat
Bigoted Racist Twat

Hakuna Tapeli mkubwa ambaye ameshatokea Tanzania. Kama Robert Heriel Mtema sumu.
 
Afdhali umaskini wa fedha kuliko umaskini wa akili. Mtoa post upo kundi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…