Barua ya wazi kwa Tundu Lissu kumuonya dhidi ya kutetea masikini na wapumbavu

Tufundishe watoto kupigana na umaskini, ni kitu kibaya sana maana maskini hana akili na hajui kama tajiri anachoka na anachukia kuombwa ombwa kila siku. Yeye kazi yake kuomba tu na hana wazo la kutoa nayeye one day. Na maskini asipopewa hulaani na kusengenya.

Maskini wengi ni wavivu sana, maskini akipewa mtaji ili tajiri aliechoka kuombwa apumzike basi ataufilisi mtaji wote ili aendelee tu kuomba. Maskini ataomba pesa ya dawa ukimpa anafanyia birthday na kupost ilivyofana, huwa ni wajinga mno na hujifanya wajanja sana.

Maskini ataomba nguo ambazo huvai utamuonea huruma ukimpa tu anapeleka nguo zako kwa mganga kukuroga!! Wamejaa ujinga sana kichwani.

Maskini akiomba pesa usimpe mkononi maana pesa hiyo hiyo ukimpa ataipeleka kwa wachawi na waganga ili usipate tena. Maskini ni watu wa ajabu sana. Bora umtumie kwa wakala apewe na mikono ya mtu mwingine.

Maskini huhitaji personal transformation and breakthroough hivyo kumtetea maskini ni kupoteza muda tu, maskini hajitambui na hana uwezo wa kiakili wa kuelewa mambo hivyo kukaa nae na kumuelimisha ni kupoteza muda tu

Kweli Kabisa Mkuu
 
Pia inaonekana na wewe unaamini sana Uchawi na ushirikina
 
Back
Top Bottom