Barua ya wazi kwa Tundu Lissu kumuonya dhidi ya kutetea masikini na wapumbavu

Kwanini unamwita majina mabaya Taycon wa fasihi?
Nipe sababu kwanini nisimwite hivyo. Vinginevyo kaaa pembeni, kama yeye ni Tako la Fasihii mwambie aje hapa tukutane ajibu kwanini nisimwite hivyo...Na naweza kuongeza.

Toka kaa pembeni wewe ndio Robert Heriel? Narudia nasema kwa Uhakika. Ni tapeli, ni Mtia Chuki, Ni Mkimbari na ni takoon Tako mchwara.
 
Watu wote wanaopenda watu na kuwatetea masikini,HAWAFI (sio kwa tafisiri ya Makamb) wanatwaliwa na Roho zao kuendelea kuishi.Mf Martin Luther,Mandela nk. Hakuna kitu cha mhimu kwa binadamu kumpenda Mungu na binadamu wenzake kwani ukifa utaendelea kuishi Hivyo Lisu asiogope kwanza anaushuda tayari wa yaliyompata
 

Usimdanganye mwenzako Mkuu
 

Ni Akili kubwa kujitambua.
Ni hekima kutambua wengine wanaokuzunguka
 

Sasa Tundu lisu anawasemea Watu wenyewe ndio kina nyie😂😂.
 
You are doing misinformation. Lissu anatetea masikini? Huyu lissu aliyetisha watanzania eti watashitakiwa na barrick kwa kuzuia makinikia? Huyu lissu aliyejitolea kutetea barric? Huyu lissu aliyekimbilia ubejiji na kumsimanga magufuli mtetezi wa maslahi ya umma mkubwa eti ni dikteta? Huyu lissu aliyekuja kugombea urais akisindikizwa na wale mashoga wanasheria?
I dont buy your story hata tone. Lissu ni kibaraka wa mabeberu mtetezi wa demokrasia ya kiliberali. Demokrasia ambayo huku afrika wanafundishwa kudai uhuru usiyokua na mpaka. Uhuru wa wapiggaji, uhuru wa wala rushwa. Wanafundishwa wadai haki za mashoga, haki za LGBT na kadhalika.
Hakika lissu sio kabisa mtetezi wa maslahi ya maskini au wanyonge. Huo ni uongo wa mwaka.
 
Duh! Confusionist. It is a leaf of Cannabis Sativa. The views of the supressors.
 
Jamaa uliandika ukweli ila kwa hasira😅
 
Enh kwa kujiexpose huku na namba zako za simu pamoja na kusema haya ambayo mfalme marehemu jiwe maku-fool alokuwa hayapendi enzi za utawala wake umetoboa kweli hawakukushughulilia majambazi wake wale washamba?
 

Hujasikia kesi zinazoendelea kuhusu kushtakiwa na hao mabeberu?

Na Kwa nini wanyonge na Maskini msijitetee wenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…