Barua ya wazi kwa Tundu Lissu kumuonya dhidi ya kutetea masikini na wapumbavu

Hii barua itaendelea kuishi na kudumu daima dawamu
 
Basi na uwatetee wewe🤭
 
Andika na waraka mwingine uwaambie kwa nini CCM inatumia nguvu kubwa kuwadhibiti wapinzani ambao unadai wapo weak kisiasa.
 
Kizazi Cha hovyo kabisa
 
Umeandika ukweli mchungu sana!! Watanzania wa Leo sio watu wa kuwapigania kabisa, Watanzania hatujitambui kabisa!! Sijui CCM walitulisha Nini jamani daah!!! Watu wako bize na mambo ya ajabu ajabu, kijana yuko radhi kuchomana visu na mwenzie kisa alikiba na diamond.

Kijana yuko radhi kujiua kisa Simba ama yanga imefungwa . Lkn bandari inaondoka bure Bure Bure watu kimya, wizi wa Mali za umma unafanyika waziwazi watu kimya, Watanzania wenzao wanafanyiwa uonezi mkubwa ukiwemo kutekwa na kujeluhiwa vibaya na watawala watu kimya.

Mambo mengi ya hovyo watawala wanatufanyia Watanzania kiasi kwamba hata wa-Burundi wasingekubali lkn sisi kama hakijatokea kitu. Kiukweli Watanzania Bado hatujawa tayari kupiganiwa, tumelala mno!!!! Mnooo!!!! Angalia wenzetu wakenya hawataki ujinga kbs na watawala wanalitambua hilo.

Mtoa mada upo sahihi kabisa Watanzania sio watu, japo Kuna masikini wa nchi nyingine wanalitambua. Mimi Toka nitambue alichokisema mtoa mada nipo zangu bize najipambania kujikwamua kwenye umaskini, hata kura sijihangaishi kwenda kupiga.
 
Lissu angekuepo kuanzia 2050 pengine jitihada zake zingezaa matunda, sio Leo!! Wajinga Bado wengi sana nchi hiii. Kizazi kitakachokuja kuwachapa watawala bakora ni hichi Cha school bas, English medium. Bahati nzuri CCM hili hawakulijua mwanzo na hawawezi kulizuia
 
Sikuungi mkono Mkuu. haukonsahihi

Yaani Unataka ccm wauze rasilimali zote
Sasa kizazi kijacho kitaishi wapi?
Hayo mawazo yako ni utopia hayawezekani
Mkuu acha wauze tu angalau zifaidishe dunia.
 

Kwa sasa Bado sana
 
Sikuungi mkono Mkuu. haukonsahihi

Yaani Unataka ccm wauze rasilimali zote
Sasa kizazi kijacho kitaishi wapi?
Hayo mawazo yako ni utopia hayawezekani

Mawazo ya Lisu ndio Utopia.
Kuwaza jambo ambalo haliwezekaniki
 
Tufundishe watoto kupigana na umaskini, ni kitu kibaya sana maana maskini hana akili na hajui kama tajiri anachoka na anachukia kuombwa ombwa kila siku. Yeye kazi yake kuomba tu na hana wazo la kutoa nayeye one day. Na maskini asipopewa hulaani na kusengenya.

Maskini wengi ni wavivu sana, maskini akipewa mtaji ili tajiri aliechoka kuombwa apumzike basi ataufilisi mtaji wote ili aendelee tu kuomba. Maskini ataomba pesa ya dawa ukimpa anafanyia birthday na kupost ilivyofana, huwa ni wajinga mno na hujifanya wajanja sana.

Maskini ataomba nguo ambazo huvai utamuonea huruma ukimpa tu anapeleka nguo zako kwa mganga kukuroga!! Wamejaa ujinga sana kichwani.

Maskini akiomba pesa usimpe mkononi maana pesa hiyo hiyo ukimpa ataipeleka kwa wachawi na waganga ili usipate tena. Maskini ni watu wa ajabu sana. Bora umtumie kwa wakala apewe na mikono ya mtu mwingine.

Maskini huhitaji personal transformation and breakthroough hivyo kumtetea maskini ni kupoteza muda tu, maskini hajitambui na hana uwezo wa kiakili wa kuelewa mambo hivyo kukaa nae na kumuelimisha ni kupoteza muda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…