Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuuu ,Naomba kwanza nikukosoe .Uzi wako ni nzuri Mno Ila kuna Mambo matatu umeshindwa kuyatambua 1.Binadamu anabadilika kulingana na mazingira ( Human being is dynamic not sysmatic)) 2.mwanaume yeyote ili awe na Maisha yaliyonyooka Kwa asilimia Mia ni lazima awe na mke na watoto ( familia Kwa ujumla ) 3.hakuna binadamu anaependa Kuishi Maisha ya kipumbavu ila hii ni dunia tunaishi katika mazingira yafuatayo a.folish age b.umaskini ndani ya familia c.ukosefu WA elimu ( fikra na maradhi ) na mwisho Ni elimu dunia kututawala....NI mtazamo wangu
Baada ya kusoma hili nimejiuliza unaweza kuwa na ghorofa ngapi kariakoo au ndio motivesheno supuika?
wanawake muda huu wamelala, wakiamka kuelekea kazini... kitaumana humu!
ngoja waje.
Ameandika kihisia zaidi na siyo kiuhalisia .Baada ya kusoma hili nimejiuliza unaweza kuwa na ghorofa ngapi kariakoo au ndio motivesheno supuika?
USIOLEWE NA MWANAUME MPUMBAVU NA MWOGA!
Kwa Mkono wa RObert Heriel.
Leo nitakaanga wapumbavu wote na waoga bila kupepesa. Iwe ni Mimi mwenyewe, wewe au Yule. Andiko hili halitamkwepa mwanaume yeyote Mpumbavu na mwoga bila kujali nafasi yake, hadhi yake, na umri wake.
Kwahio ukilipwa buku 5 per day na una familia unaweza kuwa na makazi?Sio lazima uwe na Ghorofa,
Ila usikose pakuishi wewe na familia yako hata Kama ni nyumba ya matope.
Ishi kulingana na kipato chako hakuna kipato kisichomuwezesha mtu kuwa na makazi labda awe Mpumbavu.
Au ang'ang'anie kuishi mahali asipokuwa na uwezo napo
Ameandika kihisia zaidi na siyo kiuhalisia .
Kwahio ukilipwa buku 5 per day na una familia unaweza kuwa na makazi?
Muliambiwa kama hamna moyo mgumu musisome, ona sasa watu wanatoa povu 🤣🤣🤣
Sio kila mtu anapenda kuishi kijijini mzee😅😀😀😀
Sio lazima kila mtu aishi mjini Sheikhe!!
Ishi sehemu unayoendana nayo utapata makazi.
Sogea nje ya mji huko ikiwezekana kijijini ukajenge makazi yako.
Unaweza piga matofali mwenyewe, au kujenga nyumba ya matope😀😀 kuliko kuishi mjini alafu baadaye ukose hata hiyo ya matope
Sio kila mtu anapenda kuishi kijijini mzee😅
Mkuu ,,naomba nikwambie ukweli ,mm nimeishi Maisha magumu Sana ,kuna wakati nilikula ugali na chumvi iliyolowekwa kwenye maji n.k .Uzi ulioundika umeandika kihisia na siyo kiuhalisia Kwa sababu. Huyo mwanaume unayemuona mpumbavu Kwa sababu Hana pakuishi au mali ni kigezo kipi umetumia , analysis Ipi,au statistics gani unayoitumia Kwa kumuita mpumbamvu Kwa sababu Hana Mali ...mm nakukataliaUhalisia ni upi?
Kwamba hakuna wanaume wapumbavu??
Mkuu ,,naomba nikwambie ukweli ,mm nimeishi Maisha magumu Sana ,kuna wakati nilikula ugali na chumvi iliyolowekwa kwenye maji n.k .Uzi ulioundika umeandika kihisia na siyo kiuhalisia Kwa sababu. Huyo mwanaume unayemuona mpumbavu Kwa sababu Hana pakuishi au mali ni kigezo kipi umetumia , analysis Ipi,au statistics gani unayoitumia Kwa kumuita mpumbamvu Kwa sababu Hana Mali ...mm nakukatalia
Binafsi naamin uchawi upo na watu tunarogwa ila ukilinganisha watu wanaorogwa na wenye wamekaa tu bila kujishughulisha ratio may go for 1:9 so haikuwa muhimu kuihusisha na na hata hivyo yote aliyoandika yana ukweli so kutoihusisha haimaanishi andiko ni batilimkubwa vipi wanaume waliopata umaskini kwa kurogwa ama hapo kwenu hawapo
Ikitokea Kwa mfano ndugu zako wanne wanasafili bahati mbaya wakapata ajali mmoja akafariki watatu ni walemavu na wanapata matibabu na kipato chako Kwa siku ni TSH 10,000 .ikatokea ukawauguza miaka Kumi .je kama haujajenga na hauna kitu bado utakuwa mpumbavu .?Hakuna mwanaume asiyekuwa na Mali Ila upumbavu ndio unatufanya kukosa Mali.
Hivi Kama Ndege na sisimizi wanapata Mali sembuse binadamu??
Mimi mwenyewe nimepitia hayo yote unayoyasema na niligundua ninayapitia hayo Kwa sababu ya upumbavu wangu au wazazi wangu.
Labda uamue kuutetea upumbavu lakini utakuwa unajisumbua Kwa sababu upumbavu hautetewi na huwezi kuutetea.
Unakosaje nyumba na Dunia bado haijajaa?
Unakosaje Shamba wakati dunia bado ni kubwa?
Kitakachotufanya tukose ni kung'ang'ania kuishi sehemu ambazo hatuwezi kuzimudu.
Mpumbavu kama wewe zamani alikuwa akiamini kila aliyepo jela ni kibaka au jambazi.Hakuna mwanaume asiyekuwa na Mali Ila upumbavu ndio unatufanya kukosa Mali.
Hivi Kama Ndege na sisimizi wanapata Mali sembuse binadamu??
Mimi mwenyewe nimepitia hayo yote unayoyasema na niligundua ninayapitia hayo Kwa sababu ya upumbavu wangu au wazazi wangu.
Labda uamue kuutetea upumbavu lakini utakuwa unajisumbua Kwa sababu upumbavu hautetewi na huwezi kuutetea.
Unakosaje nyumba na Dunia bado haijajaa?
Unakosaje Shamba wakati dunia bado ni kubwa?
Kitakachotufanya tukose ni kung'ang'ania kuishi sehemu ambazo hatuwezi kuzimudu.