Barua ya Wazi kwa Waziri, IGP, na Bosi wa TISS

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Wapendwa wanangu,
Kuna mwanangu kanitumia hii kitu ili tushee. Nawasilisha kama kilivyo bila kuficha.

Barua ya Wazi kwa Waziri, IGP, na Bosi wa TISS

Na Nkwazi Mhango aka Fyatu Mfyatuzi

Wapendwa,

Kwanza, nimshukuru mhe. Rahis kwa kuwapa muda mjitafakari na kufanya maamuzi kabla hajawafyatua tokana na ushauri wangu japo nina shaka naye siku hizi hasa baada ya kuwa mfugaji mkuu wa chawa na machawa. Sijawahi kuwasiliana nanyi. Hii ni mwanzo hadi kieleweke. Kwa uchungu, japo fyatu, nina hisia, mapenzi, maoni, mawazo, na haki kama nyinyi. Naomba niwaulize maswali yafuatayo nikiwakilisha mafyatu kama kiongozi wao:

Kwanza, mna hisia kama binadamu? Je mnaonaje hii jinai, kadhia, na kashfa isiyoisha ya utekaji, upotezaji, ufungaji, na uuaji wa mara kwa mara–––kama mafyatu, mnaionaje? Kama mnaifahamu na kuelewa, mmefanya nini kutatua na kukabiliana na janga hili? Mwajua wajibu wa lisrikal? Kama watanzania na wanene, nini kazi yenu? Mmechukua hatua gani? Je nafsi zenu huwa zinawasuta? Wanaotekwa kupotezwa wangekuwa watoto, wake, ndugu, hata wakubwa zenu mgefanya nini? Mmewahi kuvaa viatu vya wahanga na wapendwa wao lau kihisia? Je, mmeshindwa tatizo hili, kwanini? Nini kifanyike kwa nafasi na nafsi zenu? Mnajua maana ya neno kuwajibika au mnangoja kuwajishwa? Kama hamjui, makelele na mashinikizo na ushauri vya bure kufanya maagizo magumu mnavisikia na kuvielewa au la? Kama hamvielewi, kwanini? Kama mnavielewa, mmefanya nini au kwanini? Msaada gani mngetaka wahanga na wanakaya wawape kuepusha aibu kwenu, taifa, na bosi wenu na umma walioaamini dhamana hii? Mnataka wangapi wafe, kutekwa, kupotezwa, kuuawa, kuteswa, kudhalilishwa, kudhulumiwa, na kuhujumiwa iwaingie akilini? Je, mnapokea mishahara na marupurupu kwa nini? Mmewahi kujitathmini lau kiduchu? Kama mngeambiwa mjitathmini, mngejipa maksi kiasi gani, na kwanini na nini mungeamua? Kuna ugumu katika hili au mngependa/kutaka muwajibishwe?

mkitafakari maswali, mengini kapuni, ngoja nizamie historia iliyotukuka yenye mafunzo mengi ya mzee Ali Hassan Mwinyi (RIP Sana bro) walipouawa watu kule Kanda ya Ziwa––––mmojawapo akiwa [N]zegenuka kama sikosei––––hakungoja kuwajibishwa. Roho ilimuuma. Nafsi ilimsuta. Imani yake ya kidini ilimkaripia. Nadhani hata washirika zake wa bedroom walimuonya. Kwanza, hakuhusika. Pili, hakuweza kuvumilia uoza. Tatu, alifanya maamuzi magumu. Nne alijiuzulu Januari 22, 1977. Tano, tokana na ufyatu, usafi, na weledi, baadaye kitendo hiki kilimwezesha kuwa rahis wetu kwa miaka kumi akiacha urathi uliotukuka. Sita, aliepuka kumfedhehesha bosi wake na kumtishwa mzigo. Saba, alikubali yaishe kumondolea bosi wake taabu ya ima kuwajibishwa au kujieleza kama siyo kuonekana wa hovyo, asiyefuata sheria na viapo, au asiyewajali waliomwamini na kumpa madaraka aliyompa katika vicarious liability (kwa kisambachi) kwa wasomi wenzangu. Kama si wanasharia, niulize au waulize wenzangu walioko karibu yenu.

Tuache usomi kisheria tuongee na kuulizana kifyatu. Je mnajua kadhia hii? Kama hamjui, kwanini? Kama mnajua, inawafundisha nini? Je mnaielewaje na mantiki yake? Je mnaweza kuidurusu lau mpate somo na uamuzi mujarabu wenye faida kwenu, wahanga, na taifa? Mnaelewa madhara na uzito wake? Mmetafuta ushauri kisheria?

Nafyatua kwa majina, Bw. Hamad Yusuf Masauni, Camillus Mongoso Wambura, na Suleiman Abubakar Mombo. Kwanza, mnaichukuliaje kashfa hii inayoishia milangoni mwa ofisi zenu? Inawahusu au la? Kama ndiyo, mwangoja nini? Kama haiwahusu, inamhusu nani zaidi ya bosi wenu? Mngependa au kupanga mujiwajibishe, kuwajibishwa, au kutaka hata bosi wenu awajibike wakati ahusiki moja kwa moja ingawa anahusika hasa ikizingatiwa kuwa aliwapa nyinyi madaraka? Kwa kashfa hizi za kinyama zilizogeuka donda ndugu, huwa mnalala usingizi kama mimi na wengine? Kama mnalala, kwanini? Kama hamlali, mpaka lini? Majina yenu ni ya dini hata kama ni za kigeni. Mnaamini kweli? Kama kweli, mmezitumiaje kuona mwanga? Je mmepuuzia imani zenu au ni waumini jina? Mlipoapishwa na mkaapa, mlibeba vitabu tulivyoaminishwa ni vitakatifu hata kama ni suala kujadilika? Kama mlivishika na kuviinua juu, mnavitenda haki au kuvihujumu mbali ya kujihujumu binafsi, taifa, bosi wenu, hata familia zenu mbali ya ubinadamu na uumini wetu?

Mkitafakari/kupanga kujibu maswali yangu––––hata kama msipojibu bali kujijibu––––tafakarini sana. Mngekuwa familia, jamaa, na ndugu za wahanga, mngetaka mfanyiwe nini au nini kifanyike? Je mmewahi kuwashirikisha washirika zenu wa bedroom kupata jicho la pili/ushauri? Juzi nilimsikia bosi wenu ‘akiamuru’ vyombo vya uhasama, sorry, usalama vijichunguze. Je hii ni sahihi au vunga ili joto lishuke? Nani aweza kujichunguza akatenda haki hasa binadamu na si malaika au Fyatu Mfyatuzi mwenye nguvu za ajabu za kanywaji? Je hii ni haki na sahihi? Je mmeshaurina naye au la? Kwanini? Kama mmemshauri, anasemaje na mnasemaje? Je hili la kuwajibika, kujiwabisha au kuwajibishwa ni gumu kiasi cha kuhitaji PhD kama yangu? Juzi IGP alisema kaya iko salama? Anamaanisha ilhali mafyatu wanatekwa kila uchao? Anajua maana ya kaya au la? Kweli kaya iko salama? Jechuu si uhahidi hafai? Je anangoja nini? Kati yenu na bosi wenu nani mngetaka abebe hili zigo la kashfa na uchafu maana naona Chakudema wameamua kukinukisha kama mbaya, mbaya? Eti ndata wamewazuia. Kwani hawasomi katiba au nao waiona ni karatasi tu?

Du! Kumbe nafasi imejaa! Ngoja niishie kabla sijatekwa na kunyotolewa roho.
 
Kabla ya kusoma Uzi huu, hakikisha ume meza Panadol. Maana mwandishi ana PhD ya kuandika huku kanywa konyagi.

Mheshimiwa rahis
KUji wabisha
Kunyotolewa
Kuwa jishwa
Wana sharia
Urathi
Vyombo vya uhasama
 
Ingekua busara sana ungeangalia alichotaka kufikisha kwa hadhira kuliko kukosoa uandishi, je katika yooote hayo aliyoyaandika umeona hayana maana ila tu uandishi mbovu? BADILIKA
 
Tunaishi kwenye jamii ya kanyaga twende yaani jamii ambayo mafuvu yao akili hazijarudi, jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi

Jamii ambayo wanaopewa dhamana huahirisha kufikiri kizalendo a.k.a kujizima data

Jamii inayo endeshwa kwa unyumbu wa kisiasa, unyumbu wa kisiasa ni tabia ya baadhi ya wanaopewa dhamana huahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao bila utii, (unafiki), tuseme uchawa
 
Natamani Sana siku Moja mwanafamilia au Ndugu wa KARIBU atekwe na afanywe kama alivyofanywa Mzee Kibao, ndio hao jamaa wataamka au hata wao wenyewe watekwe.
 
OUR STAGES OF ELIMINATION IN LIFE

1.⁠ ⁠At 60, the workplace eliminates you. No matter how successful or powerful you were during your career, you'll return to being an ordinary person. So, don't cling to the mindset and sense of superiority from your past job, let go of your ego, or you might lose your sense of ease!

2.⁠ ⁠At 70, society gradually eliminates you. The friends and colleagues you used to meet and socialize with become fewer, and hardly anyone recognizes you at your former workplace. Don't say, "I used to be..." or "I was once..." because the younger generation won't know you, and you mustn't feel uncomfortable about it!

3.⁠ ⁠At 80, family slowly eliminates you. Even if you have many children and grandchildren, most of the time you'll be living with your spouse or by yourself. When your children visit occasionally, it's an expression of affection, so don't blame them for coming less often, as they're busy with their own lives!

4.⁠ ⁠At 90, the Earth wants to eliminate you. Some of the people you knew have already departed forever. At this point, don't be sad or mournful, because this is the way of life, and everyone will eventually follow this path!

REMEMBER,
1. the only thing that won't eliminate you eternally is God because at the end of our journey here on earth we shall all return to Him with accounts of how we lived our lives
2. So, meet Him more,
3. Communicate with Him more,
4. Obey His orders, and
5. Maintain your presence with Him

Therefore, while our bodies are still capable, live life to the fullest! Worship God in truth and in spirit. And there will be no regrets living out our lives for Him!

Be blessed!
 
🙏🙏🙏
 
Natamani Sana siku Moja mwanafamilia au Ndugu wa KARIBU atekwe na afanywe kama alivyofanywa Mzee Kibao, ndio hao jamaa wataamka au hata wao wenyewe watekwe.
Hilo ni suala la muda tu mambo haya Huwa hayaibuki tu ghafra Bali uanza taratibu Hali ikishazoeleka raia wanaona kumbe ni kawaida na wao wanaingia kazini hapo ndipo itakopofikia Ile wanaita " Elastic limit" or "point of no return "
 
TISS ni MOSSAD TRAINED.
Sikiliza nikueleze MOSSAD wametoka wapi.

Palestine ilikuwa chini ya Waingereza,kwa hiyo Wayahudi waliokuwa wanataka taifa huru walikuwa wanapigana guerilla warfare dhidi ya Waingereza.

Sasa wale wapiganaji wakasema,"Tunapopigana,wakati mwingine tunakamata mateka; wakati mwingine inabidi mtu hapa au pale awe assassinated. Sasa tunahitaji kuwa na Organization ambayo itaweza kufanya hizi kazi nyepesi za ku assassinate watu,au kiwahifadhi mateka na kuwatesa. Halafu sisi tutaweza kufanya hii guerilla warfare without distraction.

Kwa hiyo MOSSAD ndio ikaanzishwa wakati ule kufanya hizi kazi nyepesi.
Na toka MOSSAD ilipoanzishwa miaka Ile mpaka leo, imekuwa inafanya hizi kazi nyepesi.( assassination and torture)
Na kuhusu yule aliyekuwa anauliza,"Ukitesa watu huo ni utamaduni wa Kitanzania kweli?"
Nani kasema ule ni utamadumi wa Kitanzania?
Wale wanaitwa MOSSAD,inatokana na MOSES.Wao wanaifuata Sheria ya Torati.
Kwa hiyo wewe umeandika barua hii unataka uambiwe nini?
 
TISS Kuna tatizo Kuna mgawanyiko mkubwa Sana Kuna timu tatu zinasuguana

Team kizimkazi , Team Msonga, Team R.I.P

Kitendo tu Cha Samia kumfukuza kazi Diwani athuman na kutomu ongezea muda Mabeyo kilikuwa Cha kijinga

Na Sasa kila mwaka anabadilisha mkurugenzi wa TISS kitu ambacho ni kosa mkurugenzi wa TISS habadilishwi Kama nguo hivyo

Bye bye Samia 2025 lakini utakuwa umeumiza watu Sana by 2025
 
Back
Top Bottom