Mh Aweso anapiga kazi sana ila Mameneja wa Wilayani ni shida kabisa hakuna ubunifu,badala watembee maeneo yenye makazi na kuwashirikisha wananchi hata kuchangia njia kubwa (bomba nchi 2 au 4)na uchimbaji wa mitaro wamekaa tu maofisini, TANESCO (REA)wamewezaje huko vijijini nchi nzima?